Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Atagombea tena 2025 kwani alishagombea?
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Kwa NEC hii anapata 60% mapema sn, hakuna uchaguzi zaidi ya maigizo
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Hawanaga haibu ,atagombea
 
Mitaani unaskia watu kibao wanasema hawamtaki, ikifika 2025 utawashangaa wana tshirt za kijani, hii nchi konyo sana.
Hongo ni halali
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Afya,elimu, miundombinu kizungumkuti!?..au umeandika tu!?
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Chagua CCM Kwa Maendeleo Ya Ubabaifu Tanzania
 
Anza na huku jamiiforum kuna watu wanamsifia ile mbaya japokua wanapitia haya magumu
Wachumia matumbo na walamba asali, we unafikiri mtu kama Nape, Mwigulu, Februari and alike watasemaje?
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Nani Puppet au Dr.S.Mzee mvurugaji wa sauti ya wananchi 🐒
 
Wewe ni raia wa nchi gani?
Inaonyesha u mgeni Tanzania.
Waliomzukuka wanammwagia sifa kedekede wakimwimbia hakuna kama yeye na hatatokea.
Hayo ya umeme, maji mnayajua nyie
 
Sioni sababu ya mama kutoshnda kwa kishindo 2025 na ikizingatia hata vyama vya upinzani kikiwepo Chadema tayari wamekosa agenda za msingi na kubaki wanalilia kupewa nafasi ya kuzungumza katika misiba.
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Utagombea wewe Mkuu Ili utatue hizo vizungimkuti 🤣🤣
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Yale macho yake hayanaga aibu
 
Si Rahisi kuomba KAZI uliyopewa ikakushinda.

HATOGOMBEA !!!
 
Back
Top Bottom