Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
πππHuyo mnae mpk 2030.
Fomu ni moja tu.
Km kulia anza sa hii
Kwani wewe unadhania election ni five year after but raisi lazima akae ten year kwa uongoziSukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
..Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Hizo ni ngonjera brouh matumaini kwa chadema
Sio shujaa bali mwendawazimu mwendazakeWa kulaumiwa ni Shujaa Magufuli kwa kutuchagulia Wabunge πΌ
Kuna wale haters wa Magufuli walikuwa kila mara walikuwa wanalalamika kwamba hali ni mbaya na wazee wapo kimya,mbona sasa hivi hatuwasikii kwa Samia!au hali ni nzuri kwa Samia!Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Uhuru ni gazeti la CCMHizo ni ngonjera brouh matumaini kwa chadema
Mbona mnaweweseka sana na yeye kugombea au kutogombea?Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.
Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Anza na huku jamiiforum kuna watu wanamsifia ile mbaya japokua wanapitia haya magumuSukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.
Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Huyo mnae mpk 2030.
Fomu ni moja tu.
Km kulia anza sa hii
π π π na kwasasa rasmi anasema wana udugu kizimkazi[emoji1787][emoji1787] Doto magari anamwambia mama atawale mpaka kiama
Atakuwa mtu aliyekosa aibu endapo atagombea tena
Wa kulaumiwa ni Shujaa Magufuli kwa kutuchagulia Wabunge [emoji209]