Upinzani hata lile suala la kuachiana majimbo wakiona sehemu mpinzani wa chama tofauti na chao anakubalika zaidi,imeshindikana!Huwa hawafikiri mbali, walitakiwa kujiandaa miaka2 iliyopita na kuweka mtu makini kwenye hiyo nafasi ya urais ambae hangegawa vyama
Chadema inaweza kufa tu ila watu wanaotaka mageuzi wapo suku zote.Na kuna wajinga wa CCM humu walisema CDM imekufa, mara haitakuwa kambi rasmi ya upinzani. Sasa hivi unawacheki NCCR hoiii,ACT bara daaah, CUF atleast anajitutumua akiwa na dhambi ya usaliti mzito.
Mitano tena SASA BASI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu yani wewe ndiye umenichekesha kwa sauti sana mpaka watu wananidhania hamnazo.
Haaa...... Afisa kipenyo bana hahaa.... Arudi tu nyumbani mkakati huu umeshindikana mara hiiHahahahahaaaaaaaaa....
Afisa Kipenyo anadhalilika!
Jasusi mbobezi! Kachero wa Tanganyika.
Hahahahahaaaaaaa.
Ubaya hawana mipango kila mmoja anaangalia faida binafsi. Bado wana safari ndefu sanaN
Upinzani hata lile suala la kuachiana majimbo wakiona sehemu mpinzani wa chama tofauti na chao anakubalika zaidi,imeshindikana!
Focus imekuwa katika urais ubunge na udiwani kama wamechukulia easy.
Weka membe,weka lissu na wengine woteeee unaowajua hawana uwezo wa kumtandika mzee.Membe uwezo wa kufanya kampeni kubwa anao, pesa za Gadaffi bado zipo, hiyo naamini ni strategy wameamua kumuacha Lissu amtandike Magufuli vizuri.
Huu Ni majadala kuhusu ACTChaggadomo ni chama chenye mifuasi ya hovyo sana.
Kwa hali hii CCM utakung'uta marisasi mpaka basi.
Hicho chama ni kama hakina ruzuku na huu ni uchaguzi wake wa pili kushiriki, wewe unataka kulinganisha na CHADEMA yenye miaka 20?
Ishtoshe hata Chaggadomo watu wanaiunga mkono kwa kuwa wamechoka tu CCM na siyo kwamba ni chama cha maana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una roho mbaya sanaHuyo itafika time tuta mpa ile Microphone yenye speaker hapo hapo
Dah braza co gud hvoo..nimecheka sana😆😆😆Huyo itafika time tuta mpa ile Microphone yenye speaker hapo hapo
Akipata aibu si ni maamuzi yake? Wewe unakuuma nini??Siasa za mitandaoni zilimvimbisha kichwa akajiona anapendwa kuliko mwenyekiti!
Asipokuwa makini hatamfikia hata RUNGWE kwa kura!
Atapata aibu sana huyu mzee!.
Anajisahau kabisa kwamba ACT ni chama kichanga cha juzi tuu. Halafu hiyo picha ni Kilwa Masoko, Lindi uwanja wa Mkapa Garden... Hapo ni one of the strong hold ya Mbunge Sulaiman Bungara almaarufu Bwege, na kulijaa kweli kweli.Kumbuka vyama vya upinzani havina rasilimali vya umma . Kwa hiyo udhaifu unaouona ni hali halisi ya nchi .
Katika ground ipi, weka free and fair election, saa 10 jioni tu CCM Out.Weka membe,weka lissu na wengine woteeee unaowajua hawana uwezo wa kumtandika mzee.