Duuh, with exception of few, hio few ni ngapi, kwako Haina thamani?Ni Wapumbavu wakubwa kwa sababu duniani billions of people they got vaccinated and they are just doing fine healthy wise with exception of few.
Kuwa serious dogo, ,,wakati huu ambapo bado watu wanapata corona na wanakufa (kifo hakikwepeki), na kuna watu wanahubiri kupinga kupata chanjo, rais kama kiongozi mkuu wa nchi- kuhamasisha watu wachanje ni moja ya wajibu wake. Siyo yeye tu , wamefanya hivyo viongozi wakubwa duniani.Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
70% ya ulaya wamechanjwa so mfano wako ni irrelevant kabisa.Je, Ulaya na kwingineko wanako andamana kupinga chanjo, nao ni Retarded and foolish mindset?
Hujui hata anafanya nini ndiyo maana amegeukia maigizoHuu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
Hata corona haiwasumbui kama sisi70% ya ulaya wamechanjwa so mfano wako ni irrelevant kabisa.
Duuh, with exception of few, hio few ni ngapi, kwako Haina thamani?
Ikumbukwe kuwa Ulaya wamekufa Sana na hio wamuue kurisk katika chanjo isiyo na uhakika! Nakuhakikishia kuwa Ulaya ingekuwa Tanzania ambako majority wako safe with exception of few, wote wangepinga hio chanjo yako unayoshadidia
Hatari snYaani kila nikiskia waswahili wanabeza kuhusu chanjo nacheka mnooo, adi leo tungekua tuliisha wote
Waafrika tuache unafiki..... ARVs zina uhakika 100%? Tiba ya mionzi kwa wagonjwa wa kansa madhara yake mbona makubwa na haina guarantee ya kuponya?? Kiufupi 85% ya wanaotumia radiotherapy wanapata side effects za both long term na short term ila Mmewahi kupiga vita??Duuh, with exception of few, hio few ni ngapi, kwako Haina thamani?
Ikumbukwe kuwa Ulaya wamekufa Sana na hio wamuue kurisk katika chanjo isiyo na uhakika! Nakuhakikishia kuwa Ulaya ingekuwa Tanzania ambako majority wako safe with exception of few, wote wangepinga hio chanjo yako unayoshadidia
Duuh, with exception of few, hio few ni ngapi, kwako Haina thamani?
Ikumbukwe kuwa Ulaya wamekufa Sana na hio wamuue kurisk katika chanjo isiyo na uhakika! Nakuhakikishia kuwa Ulaya ingekuwa Tanzania ambako majority wako safe with exception of few, wote wangepinga hio chanjo yako unayoshadidia
Facts kama hizi hawapendi kabisa kuzisikia..... Wanapenda umbea umbea tu kma wa Gwajima lakini huwezi kuta wanatafuta data kama hivi kujiridhisha.More Than 5.39
Billion Shots Given:
Covid-19 Tracker
In the U.S., 372 million doses
have been administered
Updated: September 2, 2021, 3:54 PM EDT
https://www.facebook.com/sharer/sharer.php?u=https://www.bloomberg.com/graphics/covid-vaccine-tracker-global-distribution/
Vaccine Tracker
The biggest vaccination campaign in history is underway. More than 5.39 billion doses have been administered across 183 countries, according to data collected by Bloomberg. The latest rate was roughly 41 million doses a day.
In the U.S., 372 million doses have been given so far. In the last week, an average of 910,432 doses per day were administered.
World Map of Vaccinations
More than 5.39 billion doses have been administered—enough to fully vaccinate 35.1% of the global population
- no data0515
Facts kama hizi hawapendi kabisa kuzisikia..... Wanapenda umbea umbea tu kma wa Gwajima lakini huwezi kuta wanatafuta data kama hivi kujiridhisha.
Kwa nini Saudi arabia wamekataa kutambua chanjo ya China kwa mahujaji?World Health Organization approved those vaccines in order to save billions of people around the World and so far so good despite of those few and WHO is still supporting those vaccines.
Chanjo ya Ebola iliidhinishwa ndani ya saa 48 na WHO nadhani ndio chanjo iliopitishwa kwa spidi zaidi. Na umeona inavyofanya kazi kwa usanifu mkubwa..... But sijaona kelele za kuwa wazungu wanataka kutuua. Same to ARVs, kama walikua hawatupendi why walete ARVs kutusaidia tusife kma nzige?? Kwani hizo chanjo hawatumii pia wazungu?Kwa hiyo kama kuna wazungu wema kwa hiyo hakuna matycoon yanayoweza kupanga hatari
Kwa nini Saudi arabia wamekataa kutambua chanjo ya China kwa mahujaji?
Chanjo anayochanja mzungu ndio hii ya Tandale?Chanjo ya Ebola iliidhinishwa ndani ya saa 48 na WHO nadhani ndio chanjo iliopitishwa kwa spidi zaidi. Na umeona inavyofanya kazi kwa usanifu mkubwa..... But sijaona kelele za kuwa wazungu wanataka kutuua. Same to ARVs, kama walikua hawatupendi why walete ARVs kutusaidia tusife kma nzige?? Kwani hizo chanjo hawatumii pia wazungu?
Black mentality ya inferiority complex
CCM kuchanja ni hiyari!Ni Wapumbavu wakubwa kwa sababu duniani billions of people they got vaccinated and they are just doing fine healthy wise with exception of few.
Mkuu unabishana na MPUMBAVU mmoja hanaga akili. Reasoning Capacity yake ipo Very Low, angalia comments zake na majibu yake ndo utanielewa. Ni mmoja wa watu wasiotumia akili binafsi atakwambia WHO wamesema hivi au vile hajui WHO inaongozwa na binadamu wwnye mapungufu kibao. Nakushauri muache aendelee kuishi na ufala wake.Haya nijibu sasa mwanasayansi, je ukichanja huambukizwi? Je ukichanjwa hutavaa mabarakoa tena? Na ukichanjwa uviko haitakuua?
Ndizo akili zetu watanzania, yani tuna ulimbukeni wa kitoto sana na hii lugha ya wakoloni wetu [emoji23]Unadhani kuzungu ndiyo kinachotambulisha uelewa wa mtu? Huo msitari wa mwisho unakuhusu wewe mwenyewe mkuu.
Hakuna chanjo au dawa iliyo na efficacy 100% hata kuna wanaotumia ARVs ila CD4 bado zinashuka na wapo pia wanaotumia sindano za Insuline ila bado sukari inashindwa kujibalance so sio issue mpya kwenye medicine.Haya nijibu sasa mwanasayansi, je ukichanja huambukizwi? Je ukichanjwa hutavaa mabarakoa tena? Na ukichanjwa uviko haitakuua?
Upeo mkubwa wa akili pevu [emoji119][emoji106]Sipo katika kundi la wakataa chanjo. Lakini watu wanao justify chanjo ya Corona kupitia history like "tumechomwa chanjo nyingi|kadhaa huko nyuma" nawachukulia ni watu wapumbavu sana.
Jambo ambalo hawajui kuwa ni mambo yanabadilika na kama mambo yanabadilika basi hata demand inabadilika.
Mfano: Kwa wakati huo walitaka tuwe safe sababu walikua na uhitaji wa Human resource/Labour power.
Lakini kwa sasa tupo kwenye digital/technological era ambapo Teknolojia ime-replace/inaendelea kureplace human labour.
Ni wakati sasa ambapo human labour hasa kazi za minguvu haziitajiki tena kwahiyo wanaweza fanya lolote ili kuendana na demand yao kwa wakati huu.
Mytake: Elimisheni watu kuhusu chanjo kwa faida zake wakati huu na baade.
Msione watu wanaokataa chanjo ni wajinga. Wakati hata nyie mnaochanjwa hamjui faida ya chanjo zaidi ya kuona kama ni ufahari kuchanja na ka-pichaa juu.