Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo.
Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela?
View attachment 1921733
Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
View attachment 1922082
Kama unakiri wameshatuua huoni ni ujinga kuogopa chanjo huku wameshakuua tayari kwa sumu ambazo wamekulisha kwenye dawa zingine??Wanatuua kila siku na wamekuwa wakituua kila siku ila wewe huwezi kujua sababu unawaza mikopo na misaada ya wazungu
Kama nakuona ukiwahi foleni siku chanjo ya UKIMWI itakapotolewaMtu kama mimi siwezi kutumia ARV na wala siwezi kukubali kupima ukimwi
Ndio, wale wanaopinga (ambao ni asilimia ndogo ya wananchi) ni foolish. Kwa nini idadi kubwa wanakaa foleni kupita chanjo
?
(foolishness is no African priviledge!)
Hitaji la wakati ule ni tofauti na hitaji la sasa la hao so called mabeberu.Watozonia kuweni na akili😂😂😂 Chanjo za TB, ndui, pepo punda, polio, yellow fever na madawa chungu nzima ya MABEBERU Waafrika tumemeza au kunywa kwa miaka mingi. MABEBERU wangetaka kutuua mbona kungekuwa hakuna hata Muafrika mmoja duniani? Baadhi ya Watanzania wana ufinyu mkubwa wa akili.
Kama nakuona ukiwahi foleni siku chanjo ya UKIMWI itakapotolewa
Hitaji la wakati ule ni tofauti na hitaji la sasa la hao so called mabeberu.Watozonia kuweni na akili
Nenda kachanjwe wewe inatosha usitulazimishe kila mtu achanjeHebu ondoa upuuzi wako? Wameshakufa Waafrika wangapi waliopata chanjo au kuwa mazombie? 😳
Zombie mmoja ni wewe maana huna akili😅😅Hebu ondoa upuuzi wako? Wameshakufa Waafrika wangapi waliopata chanjo au kuwa mazombie? 😳
Nenda kachanjwe wewe inatosha usitulazimishe kila mtu achanje
Zombie mmoja ni wewe maana huna akili😅😅
Is it not WHO's approved? Go through your text again you will see the linkage.🤣🤣🤣🤣🤣🤣 evidence please of my writings about China’s vaccine.
Is it not WHO's approved? Go through your text again you will see the linkage.
Ukishajiita bak we ni back tu Kila mahalaKwa kuwa babaako hana akili usidhani kila mtu ni taahira kama babaako.
Ukishajiita bak we ni back tu Kila mahala
Kumbe unajua Kiswahili!Acha uongo sijawahi kuandika chochote humu kuhusu China’s vaccine.
unajua Kiswahili!
Pitia text yako ya mwanzo umezungumzia nini halafu utaona uhusiano uliopo japo hukutaja kwa jina hiyo dawa.
Nisome tena, naona una pre conceived mind!Kwahiyo tuendelee kukubali kudhuriwa?