Kwa hali hii unadhani vizazi vya ufuska na maadili mabovu vitapungua?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi.

AFRICANS..daaah
Screenshot_20231013_101901_Instagram.jpg
 
Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi.

AFRICANS..daaah
View attachment 2780783
Wanawake ndio wanaforce na jamaa kaona kawaida nadhani akufikili effect zake kwa kumlizisha mwanamke mpumbavu.
 
Kweli hapa mwanamke ndio kaforce hii pose while jamaa alikuwa akili yote kwa mpiga picha. Inawezekana mwanamke alikuwa amesimama mwanzo katika kubadirisha poses akainama na kupata snapshots zingine.
 
Muda mwingine ishu hizi zinatokea pale unakuta pale baba nae maadili ni zero, yani nae yuko wild.

So unakuta mama anajiamulia muda wowote kufanya uchafu alafu baba yeye anachekelea tu
 
Back
Top Bottom