Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
This is social media business, right?Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi.
AFRICANS..daaah
View attachment 2780783