Kwa hali hii unadhani vizazi vya ufuska na maadili mabovu vitapungua?

Kwa hali hii unadhani vizazi vya ufuska na maadili mabovu vitapungua?

Itikadi za ki-sigma, kialfa zinapotea kwa wanaume kwa kasi sana hapo ukiona hivyo ni picha halisi kwamba mwanamke amekalia kiti cha uongozi, Sasa hivi wanaume wengi wamewaachia wanawake kuamua jinsi gani maisha yaende me huwa na shangaa sana wakati mwingine mwanaume anahitaji kununua bidhaa kwaajili ya nyumbani lakini anataka kwanza hadi mwanamke achague rangi au aina n.k mwanamke akisema hii hapana basi mwanaume hufuata maelekezo, Ni mambo ambayo mnayachukulia kawaida ila ndo yanayotengeneza msingi mbovu wa mwanamke kukutawala.
Mfano kupitia hio picha mimi binafsi nimeshajua hiyo familia inaishi katika mfumo gani na ni nani kiongozi kwa mwenzake.
 
Vitu kama hivi mfanyie bwana yako mkiwa wote faragha, sio mbele za mtoto wenu na mna post jamii inaangalia, hata huyu mtoto akikuwa atakuwa akiona hii picha kupelekea EITHER kumtia aibu mbele ya wenzake OR kuona kufanya uchafu mitandaoni ni kawaida kwa maana hata baba na mama walifanyaga hivi.

AFRICANS..daaah
View attachment 2780783
Naona hata na mtoto wao anashangaa wazazi wake.
 
Back
Top Bottom