Kwa hali hii unadhani vizazi vya ufuska na maadili mabovu vitapungua?

Itikadi za ki-sigma, kialfa zinapotea kwa wanaume kwa kasi sana hapo ukiona hivyo ni picha halisi kwamba mwanamke amekalia kiti cha uongozi, Sasa hivi wanaume wengi wamewaachia wanawake kuamua jinsi gani maisha yaende me huwa na shangaa sana wakati mwingine mwanaume anahitaji kununua bidhaa kwaajili ya nyumbani lakini anataka kwanza hadi mwanamke achague rangi au aina n.k mwanamke akisema hii hapana basi mwanaume hufuata maelekezo, Ni mambo ambayo mnayachukulia kawaida ila ndo yanayotengeneza msingi mbovu wa mwanamke kukutawala.
Mfano kupitia hio picha mimi binafsi nimeshajua hiyo familia inaishi katika mfumo gani na ni nani kiongozi kwa mwenzake.
 
Naona hata na mtoto wao anashangaa wazazi wake.
 
Huyu demu huwa anapigo za ajabu sana mnaija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…