Kwa hali hii, waandaaji wa Maandamano wameshinda kwa 100%

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Leo hii ilitangazwa kuwa itakuwa ni siku ya maandamano nchi mzima.

Huyo admin wa hayo maandamano inaonekana anatumia akili nyingi sana huku akiiacha serikali ikiandaa ulizi wakidhania watakutana na waandamanaji barabarani.

Leo hii hakuna makundi ya waandamanaji barabarani lkn pia hakuna shughuli zote zote za uzalishaji.

Sabasaba watu hakuna,Kariakoo watu hakuna na maduka yote yamefungwa.

Kiuchumi hili ni pigo kubwa sana kwa serikali maana shughuli zote za kiuzalishaji zimesimama.

Wapewe makopa yao hao kina Mange naona sasa wamekuja kivingine.
 
Kama haya ndio mafanikio mnayojivunia, basi mshakubali kuwa Samia ni mpaka 2030.
Biashara kufungwa kwa siku moja ni jambo la kawaida sana, haliwezi kuiteteresha serikali
 
1783412210533.png
... KWAKWELI!
 
Sa100 na serikali yake washenzi wamenipa off isiyokuwa na manufaa yoyote,kwa asili ya kazi zangu leo ilikuwa siku ya kupiga hela ila saa hizi nipo nyumbani napigizana kelele na watoto.
 
Back
Top Bottom