Kivipmshaanza kujifariji 😀
Kivipmshaanza kujifariji 😀
Leo hii ilitangazwa kuwa itakuwa ni siku ya maandamano nchi mzima.
Huyo admin wa hayo maandamano inaonekana anatumia akili nyingi sana huku akiiacha serikali ikiandaa ulizi wakidhania watakutana na waandamanaji barabarani.
Leo hii hakuna makundi ya waandamanaji barabarani lkn pia hakuna shughuli zote zote za uzalishaji.
Sabasaba watu hakuna,Kariakoo watu hakuna na maduka yote yamefungwa.
Kiuchumi hili ni pigo kubwa sana kwa serikali maana shughuli zote za kiuzalishaji zimesimama.
Wapewe makopa yao hao kina Mange naona sasa wamekuja kivingine.
Tupo Osterbay hapa tunachoma kituo sogea harakaWakuu mpo wapi mmenidanganya
Wakuu mpo wapi mbona siwaoni! 🥲
Ukimwangalia unaona dalili za mtu aliyewahi kufanya biashara?Ushawahi kufanya biashara?
Kwapaniwapi hapo
hayaKwapani
Ushindi mkubwa sana. Sasa bado hatua nyingine.Leo hii ilitangazwa kuwa itakuwa ni siku ya maandamano nchi mzima.
Huyo admin wa hayo maandamano inaonekana anatumia akili nyingi sana huku akiiacha serikali ikiandaa ulizi wakidhania watakutana na waandamanaji barabarani.
Leo hii hakuna makundi ya waandamanaji barabarani lkn pia hakuna shughuli zote zote za uzalishaji.
Sabasaba watu hakuna,Kariakoo watu hakuna na maduka yote yamefungwa.
Kiuchumi hili ni pigo kubwa sana kwa serikali maana shughuli zote za kiuzalishaji zimesimama.
Wapewe makopa yao hao kina Mange naona sasa wamekuja kivingine.
Unahitaji mtu mwenye elimu na uchungu na TanganyikaKuiona wanaiona sema wanajifanya hawaioni
Na maandamano yakipangwa afcon hapo ndio yatapata media coverage ya bure dunia nzima. Wabongo wakipata ujasiri wa kutoka hapo hakuna afcon tenaHii inatakiwa na wakati wa michuano ya AFCON yatangazwe tena maandamano, na polisi wasipotoka kulinda watu wanandamana kweli. Yaani lazima mashidano yadode.
Bado unayo nafasi, hama uondoke
Ungejua nahama kwa ajili sipendi vurugu na machocheo yake usingenitajia hizo nchi!Usijali,jichange sasa ivi kwenda hapo Somalia au Congo Drc wala sio gharama.!
Ukishindwa kabisa nenda Sudani na basi la asubuhi saa 11.
Mwigulu na kauli zake zisizo na hadhi ya waziri mkuu zimechangia kuharibu siku ya leo.Hii siku muhimu imeharibika bila sababu za msingi. Kulikuwa na haja gani ya kufanya zile promotion za maandamano tarehe 7? Maandamano ambayo hakuna aliyekuwa anasema yameandaliwa na nani
Hebu tupumzisheni basi siku haijaisha mshahamisha magoliHali ikiwa hivi AFCON serikali haram itapata aibu ya karne. Wanaharakati waandae hii kitu kipindi cha AFCON
Hiii point lazima ipo inasukwa nina uhakika AFCON lazima idode hapa tu tayari hili ni doa.Hii inatakiwa na wakati wa michuano ya AFCON yatangazwe tena maandamano, na polisi wasipotoka kulinda watu wanandamana kweli. Yaani lazima mashidano yadode.
Toka ukaandamane si ulikua unapiga mdomo humu?
Tarehe 29 ulinusurika ila safari hii utafia mbele ya mali utakayoiba au kuchoma hakuna huruma kwa wahalifu.
Nyumbu nyie
Hali ni nzuri sana hapa sabasaba siyo utani nipo hapa,na hali inazidi kutengemaa pole pole! Watu ni wengi kwa kiasi chake!Mkuu mbona wewe ni mtu ambaye hapa hf,umejijengea heshima kubwa tuu? Unadangnaya ili iweje?