ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Serikali yako haram itazidi kudhoofishwa namna hii. Si mnasema hakuna impact yoyote.Hebu tupumzisheni basi siku haijaisha mshahamisha magoli
Serikali yako haram itazidi kudhoofishwa namna hii. Si mnasema hakuna impact yoyote.Hebu tupumzisheni basi siku haijaisha mshahamisha magoli
Yaanimshaanza kujifariji 😀
Share na clip Mkuu maana watu hawataki kuamini maneno matupuHali ni nzuri sana hapa sabasaba siyo utani nipo hapa,na hali inazidi kutengemaa pole pole! Watu ni wengi kwa kiasi chake!
Maelezo mengi bila vielelezo ni matumizi mabaya ya maandishi. Unatumalizia miti.Hali ni nzuri sana hapa sabasaba siyo utani nipo hapa,na hali inazidi kutengemaa pole pole! Watu ni wengi kwa kiasi chake!
Kuhamisha magoli ndio kupoje?Hebu tupumzisheni basi siku haijaisha mshahamisha magoli
Bluetooth DemosMajirani na Nchi zingine wajifunze kwa TANZANIA maandamano ya TANZANIA kwa sasa ni next level hiiii itabidi tu majiran waombe tuition
Itakua ni mgeni maonyesho ya saba saba kama hao watu unawaona ni wengi basi acha ninyamaze kumlaum asie jua ni kumuonea...Hali ni nzuri sana hapa sabasaba siyo utani nipo hapa,na hali inazidi kutengemaa pole pole! Watu ni wengi kwa kiasi chake!
Labda kama unaandika kishabiki,lakini kiuhalisia serikali inachezeshwa kwata na hao wahamasishaji wa maandamano,wamekaa mahali wanatype kwenye simu zao kuwa Kuna maandamano halafu serikali inadance tune yao,hii inasikitisha sana,katika nchi ambavyo inasifika kuwa na mfumo wa intelijensia kama hii hakukuwa na umuhimu wa kuanza kuhangaika na road patrol kama hizo.Kama haya ndio mafanikio mnayojivunia, basi mshakubali kuwa Samia ni mpaka 2030.
Biashara kufungwa kwa siku moja ni jambo la kawaida sana, haliwezi kuiteteresha serikali
Itakuwa vijana wa Mwaipopo.Nani atakayemuua!!
I feel the sameELimu haijawasaidia watu... sijui kwanini sikuwekaga hela nikahama hii nchi na familia yangu. Watu wapuuzi kupata kutokea!
Maandamano yamebuma tena Matako yenu.Hali ikiwa hivi AFCON serikali haram itapata aibu ya karne. Wanaharakati waandae hii kitu kipindi cha AFCON
Ndugu yangu, ukweli ni kwamba hali hii ni pigo kwa serikali na wananchi kiuchumi. Kumbuka kuwa hii ni siku ya kilele kwa wafanya biashara ambao ndiyo tegemeo la kodi na pato la taifa.Kama haya ndio mafanikio mnayojivunia, basi mshakubali kuwa Samia ni mpaka 2030.
Biashara kufungwa kwa siku moja ni jambo la kawaida sana, haliwezi kuiteteresha serikali
tusifike huko kama nchiHali ikiwa hivi AFCON serikali haram itapata aibu ya karne. Wanaharakati waandae hii kitu kipindi cha AFCON