Kama haya ndio mafanikio mnayojivunia, basi mshakubali kuwa Samia ni mpaka 2030.Leo hii ilitangazwa kuwa itakuwa ni siku ya maandamano nchi mzima.
Huyo admin wa hayo maandamano inaonekana anatumia akili nyingi sana huku akiiacha serikali ikiandaa ulizi wakidhania watakutana na waandamanaji barabarani.
Leo hii hakuna makundi ya waandamanaji barabarani lkn pia hakuna shughuli zote zote za uzalishaji.
Sabasaba watu hakuna,Kariakoo watu hakuna na maduka yote yamefungwa.
Kiuchumi hili ni pigo kubwa sana kwa serikali maana shughuli zote za kiuzalishaji zimesimama.
Wapewe makopa yao hao kina Mange naona sasa wamekuja kivingine.
Kufungwa siku moja kwa hofu ni tofauti na kufungwa kwa ridhaa.Kama haya ndio mafanikio mnayojivunia, basi mshakubali kuwa Samia ni mpaka 2030.
Biashara kufungwa kwa siku moja ni jambo la kawaida sana, haliwezi kuiteteresha serikali
Yes kwa hofu. Lkn hilo ndo litazuia Samia asitoboe 2030?Kufungwa siku moja kwa hofu ni tofauti na kufungwa kwa ridhaa.
KAPICHA HATA KA'WIZI' MKUU! 😅Usiseme hivyo huku tayari raia wameshavana na polisi wako wanatupiana mabomu ya machozi lakin wananch hawaelewi.
Bado unayo nafasi, hama uondokeELimu haijawasaidia watu... sijui kwanini sikuwekaga hela nikahama hii nchi na familia yangu. Watu wapuuzi kupata kutokea!