Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Hii ya daladala. hua inanifanya no waze sana kuhusu hili gonjwa mtambuka
 
Huyo kirusi mpya ni tishio kiasi hiko? Binafsi sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa lini kusikia marufuku ya mikusanyiko. It is just a media hype, mara Bugando imezidiwa na wagonjwa, sijui nini. Ugonjwa haujawa tishio hivyo, kama unaishi Dar ungeshaona tunavyojazana kwenye dalalada, na maisha yanaenda kama kawaida.
 
Ndio uzuri wa kenge, huwa hasikii hadi masikio yatoke damu
 
Anzeni KUTABIRI mazuri sasa!
Imekuwa fashion wadau humu kutabiri yasiyo mema na ukitafakari unagundua kuwa siyo utabiri bali ni MAOMBI.
 
Money Talks brother
 
Reactions: 1gb
Unajiandaa kuzika badala ya kusema nawewe ujiandae kuzikwa?
Wewe unadhani corona inakuogopa?
Wajiandae na wewe ukiwamo.
 
Anzeni KUTABIRI mazuri sasa!
Imekuwa fashion wadau humu kutabiri yasiyo mema na ukitafakari unagundua kuwa siyo utabiri bali ni MAOMBI.
Basi wote waliokwenda Kigoma watarudi na chanjo ya Korona
 
Wazungu kule uingereza wamekili kuwa delta variant haizuliki kwa hizi chanjo uchwara
 
Tuko pamoja,kuna mtu anatwambia ulaya kuna nyomi na tuache kukariri,hii haina mantiki, si kila kitu cha ulaya tu copy tuuuu
Ila pia huyo ajue ulaya na kwingineko duniani enzi za kutotendeana haki na kubambikiana vyesi vya kubambikiana walipitia karne nyingi zilizopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…