Kwa hali hii ya Kigoma, tujiandae kuzika

Wazungu asilimia kubwa wamesha chanjwa,makali ya virusi sio mabaya Kama ambavyo hawakuchanjwa, wewe Tanzania huna chanjo yoyote ndio kwannza zimekuja milioni moja na ni msaada mkopo na sisi tupo milioni 60. Jitafakari
Acha hizo.....Ulaya tu tunaona Watu wakiwa Nyomi tena bila Barakoa..! Acha kukaririwa
 
Ulaya wamechanjwa mkuu,Uingereza pekee wamefikia asilimia 60 kupiga chanjo raia wake.Hata hivyo baada ya mashindano maambukiz yaliongezeka.
Yameongezeka Ila baada ya chanjo virusi haviwi na madhara magumu Kama ambavyo hukuchanjwa, hivyo vifo vimepungua Sana kwao. Vinatibika kirahisi
 
Tumekusikia wakala wa shetaniii. Sasa kwa taarifa yako utakufa we we na kuwaacha hao uliowatabiria kifo.
 
Kwani CHADEMA watakuwepo? Wakiwepo hao watasambaratishwa mara moja ni hatari kwa CORONA.
 
Mkuu mm sipo ktk mlengo wowote wa kisiasa.
Hao Rpcs na Rcs wanawapa sababu kuzuia makangamano kama walivyoona na wanavyojua wao.
Kulingana na Serekali inatakaje.
Hata hivyo RPCs hawakosagi sababu ya zuio lolote la mikusanyiko au maandamano never hawawawezi kosa.
Yaani wazuie tu bila kutoa maelezo kwann wamezuia,haiwezekani.
Toka miaka hiyo ya awamu ya 4.
Hata kama Covid isinge kuepo km wamekusudia kuzuia makongamano/mandamano wangezuia tu.
Rejea Kabla mwezi March 2020.
Hatukua na Uviko na mikutano ilizuiliwa.

Hebu toka nje ya siasa ubaki free alafu utazame mtaan kwako, Je wananchi wanafuata kile viongozi wakisiasa wanachoelekeza?
Je Waumini wanawasiliza viongozi wa dini juu ya maelekezo ya Uviko?
Je umetembelea kwny mikusanyiko ya maisha ya kawaida isiyoitishwa na Viongozi wa dini au siasa ukaona uhalisia?
Umesafiri na ukapanda usafiri wa uma,uliona uhalisia ndani ya chombo cha usafiri?
Je unapenda michezo?
Umeona uhalisia viwanjani na sports betting stations?
Sehem za umma ni nyingi mno..
Tuache walio hai,
Jaribu uende Hosptl za Rufaa kisha chungulia au ulizia kule waliko wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji ujiridhishe mwenyewe.
Tuache hao wagonjwa,Nenda makaburini,ya dini zote.
Angaza angaza makaburi mapya.
Ukifanikisha zoezi hili nahakika utarudi na majibu au maswali mengi sana Kichwani mwako.
Think freely
 
Jibu swali moja kutetea hoja yako, je nao ni wajinga wa mawazo, acha maelezo marefu yasiyo na maana
 
Mtoa mada kwanza ukae ukijua Serikali ishapokea mahela ya covid kwahio tegemea tatizo kuzidi kua kubwa hauoni TFF wamewaambia wananchi watawapa barakoa bure haya nambie tangu covid imeanza lini watu wamepewa masks bure? bongo upewe kitu buree? Mwisho covid ipo kweli nmeishuhudia mwananyamala hosp watu wanapumua kwa mitungi kwa wengi waloenda kigoma kama ni mzee na upo immunocompromised wameyakanyaga lakini kwa vijana immunocompetent si issue sana
 
Tutaipigia kura za maruhani CCM
 
Jibu swali moja kutetea hoja yako, je nao ni wajinga wa mawazo, acha maelezo marefu yasiyo na maana
Ndio wajinga wa mawazo,wee kwa akili yako unaonaje?
 
VP alishasema "watu wa Kigoma wasisumbuliwe"
Msiba wa kujitakia huo
 
Upinzani ukizuiwa kelele Ila kwenye soka ndio mnaona kosa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…