Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.