Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

Umesahau kuwa Dola ya KIISLAM imewahi kutawala Dunia?
Dunia ipi unayoiongelea? Ottomans walitawala Arabian Gulf North Afrika na Europe ni sehemu ndogo tu ya Sayari hii.

Sisi huku tulikuwa na Mizimu yetu na Tamaduni zetu.
 
Ni sheria ipi inayomruhusu mwarabu kushika bunduki kukimbizana na mnyama? Afu kingine mnachotakiwa kujua. Mwarabu anakuja kuwekeza kama wanavyowekeza wazungu, wachina nk. Nchi itapata faida nyingi kutokana na uwekezaji. Lakini wakenya wao hawawekezi, wanachofanya wao ni kutuharibia mazingira na kututia hasara kwa kuingiza mifugo yao katika ardhi yetu bila kufuata sheria na taratibu za nchi. Wanalisha mifugo yao kwetu, lakini wakichinja nyama zinavushwa kwenda kuuzwa kenya. Wanalima mazao yao kwetu, lkn wakivuna mazao yanaenda kuuzwa kwao kenya. Yani ardhi yetu inatumiwa tu kwa kilimo na kunenepeshea mifugo yao, lkn faida wanapata wao na serikali yao. Huu ni upuuzi ambao hatuwezi kuuacha uendelee. Tukiona jitihada zozote zinafanyika ili kuirudisha nchi yetu katika misingi ile mibovu ya shamba la bibi, basi tutahamasishana ili tuandamane kupinga hilo. Japo najua kwa hatua ambayo serikali ishafikia basi hakuna namna tena ya kuirudisha ardhi yetu ktk mikono ya wamasai wa kenya ambao wengi wana uraia wa mchongo wa Tanzania kwa ajili ya masilahi yao na ya nchi yao.
Afadhali umeleta hoja. Edit maandishi uweke space tusome vizuri.

Pia unijibu uelewa wako juu ya VIBALI vya uwindaji vinatolewaje na Uwindaji unafanyikaj?

Nikuoneshe video uone wanavyowinda kikatili na kuua wanyama wetu?
 
Unajua pia kuwa Nyumbu na wanyama wengine huhama wakiwa na mimba kwenda Kenya na wakirudi hurudi wakiwa na watoto?

Mipaka ya nchi kuhusiana na mbuga zetu ni shirikishi.

Mipaka yote Kuna huo muingiliano wa watu.

Suala hili halipasi kuleta uhasama.

Masai waliotenda kutibiwa Kenya ni Watanzania na mbunge wao amethibitisha bungeni.

Ni Kweli KENYA huleta chokochoko sana tu, Jeshi wameweka KAMBI loriondo ni jambo zuri.

Bt Ngorongoro pale Pana mkono wa mtu.
 
Show show
Hii nchi bila nguvu huwezi kuiendesha.
Wahuni wapigwe, wapewe na kesi za uhujumu uchumi
 
Mimi Binafsi Imhotep napinga swala zima la Tophy Hunting hizo fedha za Uhifadhi wa Wanyama na Uoto wa Asili tulipe kwa kodi zetu ili Wageni waje kuangalia urithi tulioachiwa na Mababu zetu.
 
Dunia ipi unayoiongelea? Ottomans walitawala Arabian Gulf North Afrika na Europe ni sehemu ndogo tu ya Sayari hii.

Sisi huku tulikuwa na Mizimu yetu na Tamaduni zetu.
Turudi kwenye HOJA, umekiri Ngorongoro anapewa mwekezaji.

Faida anayoleta Mwindaji wa wanyama hai na faida ya watalii wanaokuja kupiga picha tu na kuondoka, ipi Ina manufaa Kwa vizazi na vizazi?
 
Mimi Binafsi Imhotep napinga swala zima la Tophy Hunting hizo fedha za Uhifadhi wa Wanyama na Uoto wa Asili tulipe kwa kodi zetu ili Wageni waje kuangalia urithi tulioachiwa na Mababu zetu.
Hoja nzuri hiyo.

Usafirishe Simba kwenye cage wakazaliane Nchi za watu huko.

Unadhani watakuja kwetu kutalii?

Mbona hawatujibu hili? Hapo hakuna uchama, jambo hili ni la KITAIFA tulipinge Kwa nguvu zote.
 
Usafirishe Simba kwenye cage wakazaliane Nchi za watu
Nimesema wapi ila kumbuka mpaka sasa kuna maeneo kama Florida huko USA kuna Safari Parks Watalii wanaenda kuona Wanayama ila Watalii wengi hupenda kuona Wanyama kwenye Natural habitat zao

Isitoshe hata ikaja ikatokea Wanyama wetu wakajazana Dunia nzima hawa ni Wanyama tumeumbwa nao tusiwamalize kumbuka Wazee wetu wa zamani walikuwa wakiishi na Wanyama na kuwawinda pale tu wanapohitaji kitoweo lakini leo tunazaliana bila hesabu

Mapori mengi tumeyachukua wewe unafikiri hawa Wanyama watatoboa kweli Karne ijayo.

Iko siku tutawanunua kutoka Mazoo ya Marekani na Ulaya ili warudi kuzaliana.
 
mambo ya dola ni hatari sana.....jicho lako sio jicho la dola....kuna salamu dola inakaribu kutuma mahala juu ya hilo jambo..

Kuna wakati ushabiki wetu wa siasa unakwenda mbali sana na kusahau hata utanzania wetu..
 
View attachment 2271594

Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.

Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!

Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?

Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!

Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Ona huyu mnafiki, anajifanya amesahau mara hii, enzi za JPM aliwatandaza wanajeshi mijini ati wanafanya usafi. Kisa CDM? Leo unalialia nini? Vumilia sindano ikuingie vizuri.
 
Nimekiri wapi? Hebu uwe unaninukuu tafadhali.

Nilikuambia uache Ubaguzi that's all"
Hizo tophy hunting, zinafanyika bila mikataba? Ilikuwa mwaka mmoja mmoja, ikawa 5 MITANO enzi za Kikwete, now miaka 15,

HOFU yangu kama mzalendo wasijetafuta madalali waanze uharibifu kutafuta vya chini ya mbuga afu tuje kusingizia wakenya.😠😠
 
Afadhali umeleta hoja. Edit maandishi uweke space tusome vizuri.

Pia unijibu uelewa wako juu ya VIBALI vya uwindaji vinatolewaje na Uwindaji unafanyikaj?

Nikuoneshe video uone wanavyowinda kikatili na kuua wanyama wetu?
Mimi si deal na vibali vya wawindaji, bali na deal kwanz na hawa mafisadi wanaofanya ardhi yetu kuwa shamba la bibi yao. Kutumia ardhi yetu bure kwa faida yao, serikali yao na vizazi vyao hili haliwezi kukubalika kamwe. Acha tu deal na hawa wa bure, tukishamaliza ndo tutaangalia hao walioingia mikataba kile wanachowinda kinaendana na kile wanacholipa au la. Kuna msemo unaosema kwamb mkono mtupu haulambwi. So wakenya kupitia ndugu zetu wa kimasai, na wale wa kwao wanatumia ardhi yetu bure kabisa, kwa faida zao na vizazi vyao. Na mwarabu kupitia serikali anataka kuja kuwinda wanyama wetu kwa malipo fulani kwa faida yao na vizazi vyao.
Unajua pia kuwa Nyumbu na wanyama wengine huhama wakiwa na mimba kwenda Kenya na wakirudi hurudi wakiwa na watoto?

Mipaka ya nchi kuhusiana na mbuga zetu ni shirikishi.

Mipaka yote Kuna huo muingiliano wa watu.

Suala hili halipasi kuleta uhasama.

Masai waliotenda kutibiwa Kenya ni Watanzania na mbunge wao amethibitisha bungeni.

Ni Kweli KENYA huleta chokochoko sana tu, Jeshi wameweka KAMBI loriondo ni jambo zuri.

Bt Ngorongoro pale Pana mkono wa mtu.
Najua kama kila mpaka huwa kuna muingiliano wa watu wa pande zote mbili, lkn wenzetu wameutumia muingiliano huo kama kichaka cha kuhalalisha haya yanayopingwa na serikali. Sizani kama muingiliano huo ndo unaruhusu watu waingie na kujichimbia katika nchi nyingine bila kufuata taratibu za kisheria. Sizani kama muingiliano huo unaruhusu kundi la watu kutoka nchi moja kwenda kulisha mifugo katika nchi nyingine bila kufuata sheria. Pia sio kila mmasai aliekimbilia kenya kutibiwa ni mtanzania, wengine ni wakenya waliokuwa wakiishi Tanzania kwa kutumia vibali vya mchongo wanavyopewa na baadhi ya askari wa uhamiaji wenye tamaa ya pesa. Mwenye jukumu la kujua kwamb wamasai wote walienda kutibiwa Kenya ni watanzania au sio ni mamlaka ya uhamiaji au ofisi ya wizara ya mambo ya ndani. Na ndo maana uhamiaji wenyew wamekwenda kukita kambi kule ili kujiridhisha na haya yaliyosemwa na mbunge wao. Maana mbunge anaweza tu kulitumia hili neno kisiasa kwa faida zake mwenyewe.
 
Nimesema wapi ila kumbuka mpaka sasa kuna maeneo kama Florida huko USA kuna Safari Parks Watalii wanaenda kuona Wanayama ila Watalii wengi hupenda kuona Wanyama kwenye Natural habitat zao

Isitoshe hata ikaja ikatokea Wanyama wetu wakajazana Dunia nzima hawa ni Wanyama tumeumbwa nao tusiwamalize kumbuka Wazee wetu wa zamani walikuwa wakiishi na Wanyama na kuwawinda pale tu wanapohitaji kitoweo lakini leo tunazaliana bila hesabu

Mapori mengi tumeyachukua wewe unafikiri hawa Wanyama watatoboa kweli Karne ijayo.

Iko siku tutawanunua kutoka Mazoo ya Marekani na Ulaya ili warudi kuzaliana.
Unasapot usafirishaj wanyama ndugu?
 
Hizo tophy hunting, zinafanyika bila mikataba? Ilikuwa mwaka mmoja mmoja, ikawa 5 MITANO enzi za Kikwete, now miaka 15,

HOFU yangu kama mzalendo wasijetafuta madalali waanze uharibifu kutafuta vya chini ya mbuga afu tuje kusingizia wakenya.😠😠
Trust me,Kenya Uganda Rwanda wakishaban Trophy Hunting limebaki Shamba la Bibi lenye Viongozi wenye Low IQ ambao wakivaa mashati ya Kijani tu wanajiona wao ni miungu.
 
Unasapot usafirishaj wanyama ndugu?
Kuna Zoo's Duniani kote wananunua Wanyama pori na sioni tatizo ila kumbuka ndiko kwenye Faru wengi kuliko Mwituni

Ipo siku tutawanunua kutoka huko kwa sababu sisi Waafrika tuna Uzembe wa kipuuzi kabisa.

Nakumbuka Askari wa Savimbi walikuwa wanaingia porini na SMG na RPG kwenda kuua Tembo kwa ajili ya chakula cha Jeshi lao.
 
Dunia ipi unayoiongelea? Ottomans walitawala Arabian Gulf North Afrika na Europe ni sehemu ndogo tu ya Sayari hii.

Sisi huku tulikuwa na Mizimu yetu na Tamaduni zetu.
Ottoman empire ni utawala uliyokuwa chini ya nchi ambayo leo hii inaitwa Uturuki. Uturuki kijiografia ipo ulaya na asia ya kaskazini. Kwahiyo ipo mbali mbali mno na zile nchi za kiarabu. Waturuki sio waarabu na wala hawajawahi kuwa na asili ya uarabu. Na pia jamaa anatakiwa afahamu sio kila mwarabu ni muisilamu, na vilevile sio kila muislam ni mwarabu.
 
Back
Top Bottom