imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Acha ubaguzi Ndugu.Waarabu roho mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubaguzi Ndugu.Waarabu roho mbaya sana
Unazungumzia wingi upi.View attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Si utani ni roho mbaya.Acha ubaguzi Ndugu.
Uliwahi kuona uwindaji ikifanyika? Yaan kama movie mnyama anapigwa ya mguu, anachechemea huku akivuja Damu.
Wao wakishangilia Wakt huo, wanajifunzia shabaha Kwa wanyama.
Hiyo kitu ni mbaya Bora ht Masai Huwatibu wanyama wakijeruhiwa au kuugua, Waarabu roho mbaya sana.
Hii issue ya Ngorongoro na kuhamishia WAMASAI Bado mbichi.View attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Hivi Mpimbwe mmoja au tuseme Mizengo Pinda akikusea utasema Wapimbwe wote kuazia Sitalike,Kibaoni hadi Usevya wana roho mbaya? Mwe!Si utani ni roho mbaya.
Ktk historia ya utumwa Uarabuni ktk Africa walipelekwa waafrika wengi sana kuliko Nchi zote duniani, Marekani walienda wachache bt masalia unayaona.nk.
Fuatilia uzao wa waafrika Nchi za Uarabuni na uzao wa waafrika Marekani.
Ndugu zetu walipotezwa kbs kule.
Wewe hamnazoView attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Ok more than 50% ya watu hao ni roho mbaya.Hivi Mpimbwe mmoja au tuseme Mizengo Pinda akikusea utasema Wapimbwe wote kuazia Sitalike,Kibaoni hadi Usevya wana roho mbaya? Mwe!
Hii issue ya Ngorongoro na kuhamishia WAMASAI Bado mbichi.
Tumegusa pabaya, maana tumezoea kutembeza BAKULI, ikikolea vizuri mtawarudisha Masai na kuomba radhi.
Maasai ni rafiki wa wanyama, Hali nyamapori, wameishi na wanyama enzi na enzi bt wanyama wapo hd Leo.
Wawindaji watamaliza wanyama na Kutumia vibali hivyo kuanza uwindaji wa chini ya mbuga Kwa madalali.
Weka HOJA tujadili.Acha kushikiwa akili na manyang'au ww mlemavu wa akili, mwisho wa siku watakuja kushika na makali... oh. Ukute ww ndo unajiita msomi ndani ya familia yenu.
Huna taarifa kuwa Masai Ngorongoro ni moja ya sababu hifadhi hiyo kuwa moja ya MAAJABU ya Dunia?Acha kushikiwa akili na manyang'au ww mlemavu wa akili, mwisho wa siku watakuja kushika na makali... oh. Ukute ww ndo unajiita msomi ndani ya familia yenu.
Kuna Reserch yoyote uliyoifanya na kupata hizo Takwimu.Ok more than 50% ya watu hao ni roho mbaya.
Uliza wafanyakazi wa ndani Kutoka Africa wanakuwa treated so badly.
Pamoja na utajiri walionao wamesaidia Kwa kiasi Gani miradi ya maendeleo.?
Mwarabu alipotawala Africa aliacha ALAMA Gani nzuri ya kukumbukwa ktk makoloni yake zaidi ya kukataa watu masikio.Kuna Reserch yoyote uliyoifanya na kupata hizo Takwimu.
Unajua Algeria na Nchi nyingine kama Sahara Magharibi zilikuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na Utawala wa Kibaguzi wa Makaburu wa Afrika ya Kusini?
Unajua leo Arab Conractors ndio Wajenzi wa Bwawa la Umeme la Kambarage?
si mnawapiga mishale askari, jaribuni muone, kama sababu za kuhama mlikwishaelezwa na mazingira kwenda kuishi mmeandaliwa. Mnataka nini, morani anayemrushia mshale askari anapambana na serikali . Nyinyi mnaweza kuishinda serikali kwa kutumia nguvu?View attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Mwarabu hajaitawala Afrika Mwarabu ni moja ya Mataifa ya KiafrikaMwarabu alipotawala Africa aliacha ALAMA Gani nzuri ya kukumbukwa ktk makoloni yake zaidi ya kukataa watu masikio.
Ni sheria ipi inayomruhusu mwarabu kushika bunduki kukimbizana na mnyama? Afu kingine mnachotakiwa kujua. Mwarabu anakuja kuwekeza kama wanavyowekeza wazungu, wachina nk. Nchi itapata faida nyingi kutokana na uwekezaji. Lakini wakenya wao hawawekezi, wanachofanya wao ni kutuharibia mazingira na kututia hasara kwa kuingiza mifugo yao katika ardhi yetu bila kufuata sheria na taratibu za nchi. Wanalisha mifugo yao kwetu, lakini wakichinja nyama zinavushwa kwenda kuuzwa kenya. Wanalima mazao yao kwetu, lkn wakivuna mazao yanaenda kuuzwa kwao kenya. Yani ardhi yetu inatumiwa tu kwa kilimo na kunenepeshea mifugo yao, lkn faida wanapata wao na serikali yao. Huu ni upuuzi ambao hatuwezi kuuacha uendelee. Tukiona jitihada zozote zinafanyika ili kuirudisha nchi yetu katika misingi ile mibovu ya shamba la bibi, basi tutahamasishana ili tuandamane kupinga hilo. Japo najua kwa hatua ambayo serikali ishafikia basi hakuna namna tena ya kuirudisha ardhi yetu ktk mikono ya wamasai wa kenya ambao wengi wana uraia wa mchongo wa Tanzania kwa ajili ya masilahi yao na ya nchi yao.Huna taarifa kuwa Masai Ngorongoro ni moja ya sababu hifadhi hiyo kuwa moja ya MAAJABU ya Dunia?
Yaani mtalii aje akute mwarabu ana bunduki anakimbizana na wanyama uuite huo ni utalii.
Umesahau kuwa Dola ya KIISLAM imewahi kutawala Dunia?Mwarabu hajaitawala Afrika Mwarabu ni moja ya Mataifa ya Kiafrika
Udhaifu wetu sisi wa kuuzana na kusalitiana kurogana na kuuana tunataka wa kumsingizia
Hebu tafuta picha ya Tipu Tipu aliyekuwa kinara wa Biashara ya Utumwa halafu niambie alikuwa Mtu wa aina gani.
Istoshe soma historia ya ALAMA ya Mfalme Leopold wa Ubelgiji aliyoiacha Kongo ya DRC.