Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tafsiri ya uwingi ni ipi kwani?!Huo ndio unauita uwingi wa majeshi kweli?
Unajengaje Kambi eneo la watu wa nje waliomilikishwa?mimi nilitamani wajenge kambi ya jeshi huko, au kambi ya jkt
Jiheshimu!Woga wako nini hasa , unajua taratibu za Rais kutangaza Hali ya hatari ,jf imevamiwa na vilaza kama wewe siku hizi USSR
kwani jeshi limepelekwajeUnajengaje Kambi eneo la watu wa nje waliomilikishwa?
Hali ya hatari ina levels. Hii si hali ya hatari kwamba nchi nzima iwe attention kama vile wanapigwa bomu la nuclearView attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Mkuu nimeuliza huo ndo wingi wa majeshi unaousema? Tena wapo wanaimba chenja hahahah!Tafsiri ya uwingi ni ipi kwani?!
Linganisha na ukubwa wa eneo linalopambaniwaHuo ndio unauita uwingi wa majeshi kweli?
Becon becon mzeeView attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
MKUUMzee wa kikombe aliondoka na siri nyingi. Wote walioenda kunywa kikombe cha babu bado wanapang'ng'ania mpaka leo. Kuna kitu pale. Babu aliona akaacha wosia uliopokelewa na mwendazake.
Mbuga chini ya mbuga. Bado Hujaelewa.MKUU
Fafanua VIZURI
Sijaelewa
Kambi za Jeshi zingewekwa kuzingira raslimali zetu zote zisiuzwe kiholela.Mzee wa kikombe aliondoka na siri nyingi. Wote walioenda kunywa kikombe cha babu bado wanapang'ng'ania mpaka leo. Kuna kitu pale. Babu aliona akaacha wosia uliopokelewa na mwendazake.
Tayari kambi ya Jeshi ilishajengwa tangu 2020Kambi za Jeshi zingewekwa kuzingira raslimali zetu zote zisiuzwe kiholela.
Wakiwamaliza wanyama wataanza uwindaji wa chini ya mbuga.
Mtu ukiwa mjinga siyo lazima uutangazie ulimwengu.View attachment 2271594
Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT.
Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana!
Kwa nini becoan zile zisiwekwe na TFS?
Yanini umati wote ule wa VYOMBO VYA DOLA ENEO LILE kama kweli hali na zoezi lile siyo la shari?!
Ndugu zangu,ukweli ni kwamba LOLIONDO yapo mengi yawayo tusiyoyatambua na wakati umefika tuelezwe eneo lile ni makazi ya MAJESHI YETU NA WAARABU.
Uliwahi kuona uwindaji ikifanyika? Yaan kama movie mnyama anapigwa ya mguu, anachechemea huku akivuja Damu.Tayari kambi ya Jeshi ilishajengwa tangu 2020
Tanzania tulishajiandaa na hili jambo! Samia anakamilisha utekelezaji
Ktk kuboresha Rasimu ya Warioba, tuwe makini sana na MAJANGILI wenye vibali vya uwindaji.View attachment 2271594