Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

Serikali itangaze hali ya hatari kwa sababu gani? Kwani serikali imesema kuna uasi?? Nimesoma post yako, haina content - ina woga wa wingi wa hao unaota vyombo vya dola!!

Unakuwaga na post za hovyo nyingiiiiiii.
 
Sioni tatizo, hao vijana hawanaga kazi za maana hadi wanaota vitambi
 

Wapi wanakataza kutumia jeshi kuweka Bikoni? We kama unataka ukorofi nenda katoe bikoni.
 
Wanaccm mtajuana wenyewe kwa wenyewe. Msituweke na sisi.
 
Umesema wanaweka beacon, ulitaka CRJE ndio wafanye hiyo kazi
 
Ulitaka wafanyeje mkuu ikiwa wananchi walikuwa wakishambuliwa nao wanashambulia kwa silaha za jadi mpaka wakaua polisi mmoja na kujeruhi kadhaa?

Ikifikia hatua hiyo bila kuwatisha kama hivyo mambo hayaendi.
 
Trust me,Kenya Uganda Rwanda wakishaban Trophy Hunting limebaki Shamba la Bibi lenye Viongozi wenye Low IQ ambao wakivaa mashati ya Kijani tu wanajiona wao ni miungu.
Hiyo italeta msuguano kidiplomasia, imagine we unazuia ujangili Ili watalii waje,, Jirani anaruhusu uwindaji wanyama.

Mbaya zaidi ni kuwa wanyama ni hao hao wanamove Kutoka Nchi moja kwenda ingine na kurudi.

Hesabu NYEPESI inakataa. Viongozi wetu waache ubinafsi.
Trust me,Kenya Uganda Rwanda wakishaban Trophy Hunting limebaki Shamba la Bibi lenye Viongozi wenye Low IQ ambao wakivaa mashati ya Kijani tu wanajiona wao ni miungu.
 
Mtoa mada tulia home ulinde ndoa yake, kutwa jamvini, unachakatwa muda gani?
 
MKUU
Fafanua VIZURI
Sijaelewa
Yaelekea mzee wa kikombe hakuwa anatibu bali alitumia njia ya kikombe kuwavuta watu hasa viongozi waje waone Loliondo na maloliloli yake ili waamue kuwaachia wamasai au kumega wote cake ya taifa. Kumbuka babu ni mtoka mbali kama sikosei Rukwa au Mbeya lakini alishaona uhondo wa pale ndo akaona ngoja awahusishe walaji hasa.
 
Mbona ni kawaida tu, huo wingi wa majeshi hapo huko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…