Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote.
Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa kuwahi kutulia tena amid hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu huku wakitazama viongozi wao wakitajarika pasipo kawaida.
Pale vijana watakapokuwa na ukaribu na silaha za moto naona giza nene katika nchi hii.