Kweli kabisa hawajui kuzichanga karata zao vizuriWakitaka wasikilizwe wazuie chan hata mechi Moja Kila wanachotaka watapewa
Ni ndezi kama ndezi wengine mwanasiasa akiamua anawapanga njiani akichoka anawarudisha kwenye slams wakiwa vilemaKweli kabisa hawajui kuzichanga karata zao vizuri
Mambo ya ajabu au wanajielewa?Sijui mirungi mingi jamaa Wana mambo ya ajabu sana.
Ni uhalisia au hayo mawazo yako umeyatoa kwenye vipindi vya luninga?Kenya vijana wana mihemko na wanavuruga nchi yao sijui nani anadhamini hayo machafuko na kwa maslahi ya nani.
Wao wanamaliza uchaguzi leo, siku hiyohiyo wanaanza kupinga serikali kisa Rais sio kabila lake.
Bora nchi nyingine za Afrika huwa wanampa mtu muda kisha akiwakatisha tamaa ndio wanampinga. Kenya uchaguzi haujaisha washaanza kupinga, kufungua kesi bila ushahidi, kutengeneza makundi angalau wawepo kwenye serikali, kutengeneza mazingira ya serikali kufeli ili uchaguzi ujao miaka mitano watumie kama kampeni.
Demokrasia yao ni ya kipuuzi ni ya kubishana na kupingana tu. Wakati Ulaya demokrasia yao ni kuungana kujenga.
Wewe mawazo yako ni yapi mkuu?Ni uhalisia au hayo mawazo yako umeyatoa kwenye vipindi vya luninga?
Tolea mfano demokrasia ya kwenu Tanzania, au wewe kwenu ni ulaya?Kenya vijana wana mihemko na wanavuruga nchi yao sijui nani anadhamini hayo machafuko na kwa maslahi ya nani.
Wao wanamaliza uchaguzi leo, siku hiyohiyo wanaanza kupinga serikali kisa Rais sio kabila lake.
Bora nchi nyingine za Afrika huwa wanampa mtu muda kisha akiwakatisha tamaa ndio wanampinga. Kenya uchaguzi haujaisha washaanza kupinga, kufungua kesi bila ushahidi, kutengeneza makundi angalau wawepo kwenye serikali, kutengeneza mazingira ya serikali kufeli ili uchaguzi ujao miaka mitano watumie kama kampeni.
Demokrasia yao ni ya kipuuzi ni ya kubishana na kupingana tu. Wakati Ulaya demokrasia yao ni kuungana kujenga.
Sababu wanajitambuaSijui mirungi mingi jamaa Wana mambo ya ajabu sana.