Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election