Wapenda haki wote hawaitaki ibirisi ccmHaya sema sasa tuna wapiga kura wangapi?
Wapenda haki wote hawaitaki ibirisi ccmHaya sema sasa tuna wapiga kura wangapi?
Nakubaliana na wewe.Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Muungano ufe Dikteta mama iddy Amin dada atasalia Zanzibar kila kitu kitakaa sawa automaticKwani reform ishafanyika?
Kujitekenya ni kukumbatia mauaji utekaji na vitendo haramu vya kishetaniMnajua kujifariji, yan Watu mnajitekenya na kujichekesha wenyewe!
Haya yetu macho mda utasema!
Social network compegn
Za kazi maalum, tena zinaombwa na Katibu wake, means for personal use!Kila nikikumbuka B15 mwili unapata ganzi.....
Nchi hii inachezewa sana. Alafu kuna wapuuzi wanasem eti umasikini unaondoka kwa kufanya kaziZa kazi maalum, tena zinaombwa na Katibu wake, means for personal use!
hayo yote uliyo ainisha hapo juu kimeshakupata hata kimoja?Kujitekenya ni kukumbatia mauaji utekaji na vitendo haramu vya kishetani
Jidanganyeni hivyo hivyo, na muendelee kumdanganya Bi Mkubwa. Na hela zote mlizomwaga na kuendelea kumwaga, bado hamkubaliki. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli.Mkuu umefanya tathmini ya wapi?maana huku nilipo watu hawajui lolote ...kulikochangamka ni mitandaoni tu ambao hata 2% ya watanzania hawafiki...
Yamewapata watu tunaowajua na kuwafahamu.hayo yote uliyo ainisha hapo juu kimeshakupata hata kimoja?
Bilion 15 kazi maalum wamegawana Amos makala Bulembo, Bashungwa, IGP na chawaccm huku Mbowe akiambulia chenji kuwauzia G55 kisha ibirisi ccm kuwasokomeza chaumaubwabwa Chaumaccm ikiwa ni muendelezo wa wizi wa pesa za walipa kodiZa kazi maalum, tena zinaombwa na Katibu wake, means for personal use!
nadhani wewe ni GenZ hukuwepo enzi za Mrema mwaka 1995!Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Ibirisi ccm bila Polisiccm ni weupe sanaBila wizi CCM hawawezi
Nina miaka 47 alafu nisiwepo enzi za Mrema?nadhani wewe ni GenZ hukuwepo enzi za Mrema mwaka 1995!
sema wew kama wew, usiseme kwa wingi..Yamewapata watu tunaowajua na kuwafahamu.
Acha uongo! Wewe unasema ulikuwa mwanza mimi ninaishi mwanza huku no reform ni ya moto mnoSio kweli kwa mwanza...nilikuwa last week karibu mitaa yote na vijiji hawajui hii kampeni yenu..yaani ni wachache sana Tena mwanza mjini ndo wanajua...maisha yenyew yanawapiga halafu waje watekeleze "ndoto" zenu za kisiasa?...
Binafsi naamini hata mkiingia nyinyi hamna JIPYA mtakalo leta zaidi ya matumbo yenu..
Mateso manyanyaso uonevu kwa chadema ni fursa ya kupiga pesa huko kwa ibirisi wa ccm Amos makala sasa ni Bilionea IGP na Bashungwa sasa ni mabilioni kwa mgongo wa chadema, kila wakiomba pesa kwa ajili ya kuihujumu kuudhofisha chadema huwa wanapewa haraka kisha wanagawana kienyeji, Uonevu kwa chadema ni kiwanda kwa watesi ibirisi wa ccmJidanganyeni hivyo hivyo, na muendelee kumdanganya Bi Mkubwa. Na hela zote mlizomwaga na kuendelea kumwaga, bado hamkubaliki. Wananchi wanataka mabadiliko ya kweli.
kama ni 47 umezaliwa 1978 kwa hivyo ulikuwa hata huna shughuli na upigaji kuraNina miaka 47 alafu nisiwepo enzi za Mrema?