Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi bibinafsi.
Hao wanachama wa CCM wanaoipenda na kuishabikia kwa maslahi binafsi ni nature ya wanasiasa maeneo mengi duniani. Usifikiri huko upinzani ndiko kuna wasafi na watakatifu saaana.

Ndio maana unaona vigogo wa upinzani,wanasaliti vyama vyao (tena wengine waanzilishi kabisa) kila siku na kuhamia kwingine kusaka malisho mapya.

Leo hii kwa mfano CM ikianguka,utashangaa hawa viongozi wa CCM wanaopondwa na upinzani ambao wanajifanya ni CCM kufa na kupona,utashangaa wanahamia chama hicho kipya tawala na kupewa nafasi za juu za uwaziri,ubunge,RC,DC,DED nk nk.

Na roho za matendo mabaya usifikiri wanazo CCM tu bali hata upinzani ukipewa nchi,usifikiri watakuwa malaika. Rejea baadhi ya nchi.
 
Watanzania tumeona na kushuhudia kuwa kuna wana siasa ambao wako tayari kupoteza walivyonavyo ili kututetea. hawana tamaa ya fedha na madaraka. Watu hao ni Chadema na wazee wachache wa CCM kina Warioba na Butiku.
 
CCM iko imara kivipi?

Wangekuwa imara wangekataa reforms?

Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi binafsi.
Hakuna kitu kinachokujaga kirahis hivyo kama unavyofikiria.Utakaa hadi uzeeke hutakaa uone hizo reform zakukuridhisha unavyotaka wewe ukiletewa na mshindani wako kirahisi rahisi tu kwakujiongelesha.
 
CCM iko imara kivipi?

Wangekuwa imara wangekataa reforms?

Fan base ya CCM ni watu wanaoipenda na kuishabikia kimaslahi binafsi.
Hakuna binadamu ambaye yuko mahali bila kunufaika binafsi.Ata wewe unawaza kunufaika kwanza kwa mgongo wakujifanya unataka mabadiliko.Ndo maana agenda yenu kubwa ni Uchaguzi.
 
Palamagamba Kabudi kabla ya kulamba asali alipata kunena kuhusu hawa Watanganyika wanaokaa kimya kama mazuzu akasema wasichukuliwe poa hata kidogo mana wakija kuamka itakua vigumu sana kuwadhibiti nadhani yale aliyosema wakati wake umefika bado ana nafasi yakushauri vyema
 
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.

Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.

Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.

Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.

#No Reforms No Election
Ao Watu wenyewe waliokusababisha uwaone Watanzania wamepevuka kisiasa wako wapi ?

Tuma picha nasisi tuone ?

kwaiyo nyomi ya Heche + Lisu Chadema leo
na RIP Edward Lowassa Chadema ipi kubwa Kwako tuanzie apo??

Na unadai unamiaka 47 manake umezaliwa 1977 -8 kwamaana arakati nyingi umeona na mashaka ichi ulichoandika kina Shabiaana na mwenye umri wa miaka 47 !!!

au leo Sikuu kuu ya Eid Umeleta UZI wenye lengo la Disko toto Watoto wafurahie !!
 
Kwa hiyo kielelezo cha Watanzania wenye smart phones na waliopo kwenye mitandao ya kijamii ni JF?

Kweli wewe ni ndaza
Na anaedhani mtandaoni hakuna wapiga kura wasingezima baadhi ya mitandao hata FAM wapambe wake walijinasibu kua mitandaoni hakuna kura kilichowakuta hadi leo hawaamini macho yao na hawajaweza ku recover andelee kudharau multiplier effect ya mitandao nakusahau hawa wachache unaowaona hapa ndio baba,mama,kqka,dada,babu,bibi ,wajomba,shangazi wa hayo mamilioni ya Watanzania walioko ground
 
Hawana akili. Wanasema mitandaoni hakuna wapiga kura alafu hawataki kufanya reforms. Kama wanajiamini mitandaoni sio wapiga kura wafanye reforms za kweli kwenye Katiba na Sheria za Uchaguzi.
 
Ao Watu wenyewe waliokusababisha uwaone Watanzania wamepevuka kisiasa wako wapi ?

Tuma picha nasisi tuone ?

kwaiyo nyomi ya Heche + Lisu Chadema leo
na RIP Edward Lowassa Chadema ipi kubwa Kwako tuanzie apo??

Na unadai unamiaka 47 manake umezaliwa 1977 -8 kwamaana arakati nyingi umeona na mashaka ichi ulichoandika kina Shabiaana na mwenye umri wa miaka 47 !!!

au leo Sikuu kuu ya Eid Umeleta UZI wenye lengo la Disko toto Watoto wafurahie !!
Unaugulia ukiwa wapi?
 
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.

Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.

Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.

Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.

#No Reforms No Election
Kwa sheria hizi hizi alizopitisha Tulia na wabunge wanaotuona sisi kenge unategemea CCM washindwe uchaguzi? Kwa tume hii ya uchaguzi ya Ramadhani Mapuri na wenzake CCM washindwe uchaguzi? Chadema walishinda asilimia ngapi kwenye chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji? Kushiriki na kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu huu ni kubariki ushindi wa kishindo wa CCM.

Vv
 
Watoto wanazingua sana ivi pengine wamesaau kuwa LISU aligombea URAIS kwenye uchaguzi wa 2020 na JPM RIP JPM akiwa na Makam wake RAIS ambae ndio RAIS wasasa wa TANZANIA..

LISU kashashindwa Uchaguzi ata akigombea tena popote yeye ni Wakushindwa tu. !!!

Una najiuliza unaishindaje CCM !!!!

Apa tulipo CCM ina Wenyeviti wa Serikali za Mitaa nchi nzima kwa 98% !!!

upinzani wote changanya wote wana %2 !! ¿¿

ndio mana kina ACT wanatafuta Wabunge japo wapate kipato ili Wajipange uko mbele yani 2030+4na5 sio sasa !!!

lkn Lisu kawazamisha mtoni kabisa kwa kugomea Uchaguzi muda ndio utaongea wenyewe !!!

Talatibu watu wataisaau CHADEMA,?

Chauma na ACT ndio watakuwa na nguvu kwa makosa ya Lisu,,
 
Lissu hatowahi kuwa Rais wa Nchi . Period

Sii kwa mlolongo huu.

Hata watokee wanachama wote wa CHADEMA wakampigia kura, hatoshinda na huo ndio ukweli.

Siasa zenu za kuwagawa watu hazitoshinda.

Uzeni sera.
 
Kwa maneno yenu haya. Ndo mana Watanzania kwa pamoja tunasema No Reforms No Election
 
Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.

Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.

Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.

Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.

#No Reforms No Election
100%
 
Lissu hatowahi kuwa Rais wa Nchi . Period

Sii kwa mlolongo huu.

Hata watokee wanachama wote wa CHADEMA wakampigia kura, hatoshinda na huo ndio ukweli.

Siasa zenu za kuwagawa watu hazitoshinda.

Uzeni sera.
Oneni mbwa hii
 
Back
Top Bottom