Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwenye Biblia kuna kitabu kinaitwa Mambo ya Nyakati.Wakati wa Mungu
Tatizo hamna tume ya kumtangaza Lissu kama mshindi. Hii ya wakurugenzi wanaopokea maelekezo ya Tamisemi haiwezi kumtangaza Lissu.
Acha kupotosha mada.Tujadili mada iliyopo mambo ya lugha fungua uzi mwingine!Some Tena alichoandika utagundua Kwa Nini ulikuwa unafeli Imla
Acha kupotosha mada.Tujadili mada iliyopo mambo ya lugha fungua uzi mwingine!
Ndo mana ni lazima tupiganie Katiba Mpya na Tume huru kweli ya Uchaguzi.Tatizo hamna tume ya kumtangaza Lissu kama mshindi. Hii ya wakurugenzi wanaopokea maelekezo ya Tamisemi haiwezi kumtangaza Lissu.
Ndoto za alinachaNina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Huyu Lord Denning ndiyo zake. Ana utoto mwingiMkuu umefanya tathmini ya wapi?maana huku nilipo watu hawajui lolote ...kulikochangamka ni mitandaoni tu ambao hata 2% ya watanzania hawafiki...
Wewe ndo upo NdotoniNdoto za alinacha
Kwa mujibu wa TCRA zaidi ya Watanzania Mil. 35 wanatumia Mitandao ya Kijamii.Huyu Lord Denning ndiyo zake. Ana utoto mwingi
Yaani tumwombe amtoe Lissu atafute ubalozi anaotaka akae Kumnusuru maisha yake akina bashite wasimle. Kampeni ya uchaguzi iendelee. Watanzania tutamsemea.Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.
Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa.
Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa kuanzia ambao ni wa uswahilini, ushuani, vijijini na mijini naweza kusema kwa kujiamini Mwenyekiti wa CCM akishindana na Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu alafu Tundu Lissu asipige kampeni hata kidogo abaki jela tu huku Mwenyekiti wa CCM akizunguka nchi nzima kupiga kampeni KWENYE MATOKEO BADO TUNDU LISSU ATASHINDA KITI CHA URAIS.
Ndo mana ni lazima sana tupiganie Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili maamuzi ya Wananchi yaheshimiwe.
#No Reforms No Election
Kweli kabisa.Yaani tumwombe amtoe Lissu atafute ubalozi anaotaka akae Kunusuru maisha yake akina bashite wasimle. Kampeni ya uchaguzi iendelee.
Itengengezwe Tume huru ya uchaguzi na dola wakae pembeni walinde raia kile kikundi cha red guard kisivamie vituo vya kupigia kura. Waweke vituo vya kutosha vya kupigia kura.
Masaa sita tu tunaomba ubalozi atupe mtu wetu tunampeleka White House. Kazi inaisha.
Sio kweli kwa mwanza...nilikuwa last week karibu mitaa yote na vijiji hawajui hii kampeni yenu..yaani ni wachache sana Tena mwanza mjini ndo wanajua...maisha yenyew yanawapiga halafu waje watekeleze "ndoto" zenu za kisiasa?...Kwa mujibu wa TCRA zaidi ya Watanzania Mil. 35 wanatumia Mitandao ya Kijamii.
Huku kwetu Mwanza hoja ni No Reforms No Election. Nilikuwa Songea ni No Reforms No Election.
Last week nilikuwa Mbeya ni No Reforms No Election.
Mwezi uliopita nilikuwa Mikoa ya Pwani na Dar kote huko ni No Reforms No Election
Ulikuwa huku na mimi niliyepo huku huoni tofauti ?Sio kweli kwa mwanza...nilikuwa last week karibu mitaa yote na vijiji hawajui hii kampeni yenu..yaani ni wachache sana Tena mwanza mjini ndo wanajua...maisha yenyew yanawapiga halafu waje watekeleze "ndoto" zenu za kisiasa?...
Binafsi naamini hata mkiingia nyinyi hamna JIPYA mtakalo leta zaidi ya matumbo yenu..
Hiyo takwimu ya asilimia 2% umeipata wapi mkuu?Mkuu umefanya tathmini ya wapi?maana huku nilipo watu hawajui lolote ...kulikochangamka ni mitandaoni tu ambao hata 2% ya watanzania hawafiki...
Hilo ni wazi kabisa!Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu.