Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

Mene mene tekeri na peresi!

(Ufalme wako umepimwa, na ukaonekana umepunguka!)_Hivyo anguko lako li karibu! Utakula sawasawa na ngombe wa machungani!.

Malkia Nebukadreza mwaka huu kazi anayo!

Amemuasi mungu na mitume wake wakina Daniel (Tec/Gwajima)
 
Huo ndio ukweli LISSU Hana sababu ya kuzungukaa kufanya kampeni kazi ilishaisha.
 
Hee
 
" Never be the same again"
Wakati tulionao sio wakati ule wa porojo na propaganda, hata chawa sasa wameanza kukiona cha moto
 
Unadanganywa na mitandao? Kwani hajawahi kugombea?

Hakika kondoo ni wanyama wasahaulifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…