Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
 
Stupid fish
 
Mkuu,

Kwani anayeipinga CCM ni nani sasa hivi wakati CHADEMA wana "No Reforms, No Election"?

Au unaamini kabisa uchaguzi unaweza kuzuiwa?
 
Mkuu,

Kwani anayeipinga CCM ni nani sasa hivi wakati CHADEMA wana "No Rwforms,No Election"?

Au unaamini kabisa uchaguzi unaweza kuzuiwa?
CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.
 
Wana vipaji kuwazidi Mzee Majuto, Joti na Masanja
Jamaa anasema vyombo vya usalama vikiongezewa mshahara bc miradi mingine itakwama utadhani Mei mosi watumishi wengine wote hawajaongezewa mishahara na hatujawahi kusikia mradi umesimama kisa pesa walipewa watumishi kama nyongeza ya mishahara 😂
 
CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.
Wanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?

Na suala la pesa hata leo Samia kamwambia Wambura akitaka pesa amwambie tu, pesa si tatizo. Ile si kauli ya kutoa kama hajajiandaa vizuri.

Samia kashauza Bandari UAE ana pesa kama Benki Kuu, unafanyaje pesa kuwa issue?
 
CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.
Hii Ndo mara ya kwanza watu wa usalama kuongezewa mishahara?
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Hasara ya kufuga ujinga ukizani unamkomowa unamkomowa jirani matokeo yake watoto wajirani wanaelimika huku wa kwako unawafundisha matusi tu.
 
Jamaa anasema vyombo vya usalama vikiongezewa mshahara bc miradi mingine itakwama utadhani Mei mosi watumishi wengine wote hawajaongezewa mishahara na hatujawahi kusikia mradi umesimama kisa pesa walipewa watumishi kama nyongeza ya mishahara 😂
Waulize watumishi kama wamepokea mshahara ulioongezwa
 
Hii Ndo mara ya kwanza watu wa usalama kuongezewa mishahara?

Rudi kwenye mada, uisome upya kisha uulize swali lenye mantiki.

Nikusaidie kidogo: mleta mada amesema, itabidi wafanyakazi wa vyombo vya usalama waongezewa mishahara 'KWA KIASI KIKUBWA', hapo ndipo ilipo hoja.

Watumishi wote wa umma, hakuna walipowahi kuongezewa mishahara 'KWA KIASI KIKUBWA'.
 
Back
Top Bottom