Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

Wanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?

Na suala la pesa hata leo Samia kamwambia Wambura akitaka pesa amwambie tu, pesa si tatizo. Ile si kauli ya kutoa kama hajajiandaa vizuri.

Samia kashauza Bandari UAE ana pesa kama Benki Kuu, unafanyaje pesa kuwa issue?
Kwa hiyo mkuu kwa andiko lako hili unakubali kuwa tumeuzwa?
 
  • Dislike
Reactions: UCD
....Kwahiyo CHADEMA isiposhinda nchi itakuwa kalas?
Hizo ni ndoto.

Nini kifanyike basi? vyombo vya usalama -wasilipwe mishahara?

CHADEMA ipewe nchi, yaani ipewe dola?

ama bila hivyo....nchi ina colapse🤕
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Na iwe hivyo ili wote tuongee lugha moja.
 
Wanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?

Na suala la pesa hata leo Samia kamwambia Wambura akitaka pesa amwambie tu, pesa si tatizo. Ile si kauli ya kutoa kama hajajiandaa vizuri.

Samia kashauza Bandari UAE ana pesa kama Benki Kuu, unafanyaje pesa kuwa issue?
ACHA UFALA WW PESA ZA RUSHWA NI ZA KITAMBO 2. HY BIBI YENU ATAANGUSHA NCHI ANAVYOLAZIMISHA
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Bado kidogo tu utaehuka.Wahi mirembe hospital
 
Amos makala chawaccm IGP Bashungwa wao wamechukua chao mapema wamegawana bilion 15 walizokwapua Hazina hata Nchi ikifirisika Kama ugiriki wao hawamo
 
Bado kidogo tu utaehuka.Wahi mirembe hospital
ibirisi wa ccm mmerogwa na nani? Yaani mnateka mnaua mnafunga makanisa mnawawabambia kesi za uongo watu mkiambiwa ukweli unakuja na maneno yako ya kijinga
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Nyinyi CHADEMA mbona siku hizi mnaweka hoja za kitoto sana

Hivi wewe unahisi Kuna mbunge wa Ccm ambaye hatamani kurudi bungeni mwakani?

Subirini wabunge wa Ccm wakianza kuingia mitaani kusaka kura ndio mtajua
 
ibirisi wa ccm sasa Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unawafanya kuweweseka wanakaa kwa wasiwasi mda wote ndiyo maana akina Amos makala na vikundi vyao wameamua kuiba pesa za walipa kodi mapema maana wanajua kifuatacho mbele
 
CCM Wanachotakiwa kukifanya kwa sasa ni kuchutama na kubadili mgombea hapo watakua wameponya maumivu na madonda kwa wananchi.Ila wakikomaa na Samia atajishindisha kimabavu ila hatotawala hana kibali wajaribu kuelewa hilo..Samia hana kibali cha kuongoza hii nchi damu zinamlilia ..ndio kila Rais aliua ila huyu anaua na anaonekana yupo sooo proud kuua..

Hapa njia raisi ni kubadili mgombea waelewa kwamba pamoja na hizi kelele za NRNE zimegubikwa na kuchangiwa kwa kutokubalika kwa huyo mama.
Aokoe chama chake akae pembeni atunze kaheshima kadogo kaliko bakia.
 
Mnajenga hoja za uongo kumfurahisha nani? CCM ina nguvu mara milioni kabla ya jana. Na tumejipanga kushinda kwa kishindo zaidi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024! Subirini muone!
Kwahiyo CHAUMMA hamtawabakishia hata kidogo?
 
Sijawasikia kuhusu mpango wa kuongea mishahara askari.

Pia sijaona ukiukaji wa haki za binadamu uliofanywa na askari.

In fact jana Rais Samia amewasifu sana askari kwa jinsi walivyodumisha amani and I totally agree with that.
Askari wetu wamefanya kazi nzuri sana.

Fikiria, Trump White House walikuwa wanatupigia makele, wanasema tunakiuka haki za binadamu, lakini sasa wanapigana boxing White House,umeona Elon Musk ameumia usoni.

Ndiyo matatizo ya Usalama wa Taifa katika kila nchi. Wanataka kuonyesha the president is supreme kwa hiyo they are punching in the face the richest man in the world.

Lakini sasa( I wonder if I should mention this) hapa ( nchini kwetu) naona kama vile itakuwepo Press Conference November 20. Nasema itakuwepo Press Conference November 10. I am not any more about this.
 
Nyinyi CHADEMA mbona siku hizi mnaweka hoja za kitoto sana

Hivi wewe unahisi Kuna mbunge wa Ccm ambaye hatamani kurudi bungeni mwakani?

Subirini wabunge wa Ccm wakianza kuingia mitaani kusaka kura ndio mtajua
Utoto na utekaji mauaji wizi wa pesa za umma vina uhusiano gani na utoto? Uchaguzi upi? Kuna uchaguzi Tanzania? Tume ya Uchaguzi ni ya ccm Tumeccm wajumbe wake wote ni ccm , Uchaguzi magumashi Uchaguzi maigizo Safari hii watu hawatajitokeza hao wabunge wako watajipachika Ubunge kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom