Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

Jamaa anasema vyombo vya usalama vikiongezewa mshahara bc miradi mingine itakwama utadhani Mei mosi watumishi wengine wote hawajaongezewa mishahara na hatujawahi kusikia mradi umesimama kisa pesa walipewa watumishi kama nyongeza ya mishahara 😂
We hujui kitu. Watumishi wa umma hawajaongezewa mshahara ile ilikua ahadi tu, utekelezaji wake utaanza mwaka wa fedha ujao...
 
Mimi ni mtumishi wa umma niko field we uko mtandaoni
Kwan nan hajui mshahara unaongezwa July?

Anyway, ulivyosema niko mtandaoni Utadhani unanijua vile 😂 Wabongo bhana
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Upenyezewe taarifa we nani bhana hata mtaani kwako hujulikani mnapenda kujikakamua CCM DAIMA SAMIA MITANO TENA
 
Chadema watazuia uchaguzi, sasa wewe unaongelea uchaguzi wa mwaka gani?
Hakuna uchaguzi Tanganyika.
 
Mie nimekuelewa sana, kuna watu hapa hawajakuelewa.
Pesa ni ya muhimu sana, lakini hata pesa kunafikikia wakati inashindwa kufanya kazi kwa sababu inatumika vibaya, hata wale wanaotoa yaani hao waarabu au wachina inafika mwisho, what do they want to achieve? Hamna masikini China au Uarabuni? Wapo. Wanaharakati fanyeni kazi zenu; bila kubalance mambo - Uongozi bora na matumizi ya fedha, kila kitu kinafeli, yaani Un-Sustainable.
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Hili suala nilikuwa naliwaza pia.
Viongozi wengi wa ngazi za juu wanaamini watz ni wajinga na hii imewapumbaza hadi wanashindwa kuelewa kuwa katitaki ya ujinga kuna wanaotafuta maarifa na wafanyakazi wengine wenye uwezo kikazi wasiopenda haya mambo ya kuonekana wajinga wajinga.
Kwa hiyo wanakaa wanajiaminisha na hizo shibe zao za kifisadi huku wakisahau kuwa wenyewe wako kweye top ya 'pyramid" na idadi kubwa ya surbonates wao huku chini hawakubaliani na uporaji wa haki (mind you kuna wanaokwenda makanisani na misikitini kufanya ibada za ukweli) ndio maana kila siku kuna mambo yanavujishwa.
Mfano mzuri ni jinsi watu walivyojitokeza kwenye mkutano wa wapinzani pale pale dodoma ambapo ndipo nguvu ya utawala ilipo.
Na cha kufikirisha, ukiwauliza watawala kila mtu anajiaminisha kuwa uchaguzi wa Oktoba liwe jua iwe mvua ni lazima watangazwe wao (sio kushinda), na ukiwaambia basi kama ni hivyo mnaonaje hizo pesa za uchaguzi basi tuzipeleke kwenye matumizi mengine yaliyo ssahihi na issues za uchaguzi tuachane nazo. hawataki kusikia pia hilo!

Kwa mwenye jicho la tatu ndiye anaweza kuona ukweli huu wa kutumbukiza nchi kwenye matatizo kwa ile mentality ya kijinga kuwa "bora wote tukose". Kumbuka hii mentality inatumiwa na watu waliopata mali au madaraka kwa njia zisizo halali ambao dunia nzima haiwahitaji kwa sasa.
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Hizi takataka kawasimulie wavuta Bangi wenzie huko ufipa 🚮🚮

In fact ilitakiwa mueleze Hali yenu itakuaje baada ya Uchaguzi wa Oktoba?

Au mtasubiria tena 2030? 🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Kila kitu huanza na tetesi,nakumbuka kuna shehe mmoja ni mtabiri ambae ni marehemu alitabiri kama wewe,nahisi kuna watu wanazuia huo utabir usitimie
Ndio,wanazuia mafuriko kwa mikono 🤭😂😂😂
 
Kwa hiyo mkuu kwa andiko lako hili unakubali kuwa tumeuzwa?
Sio mimi tu, watu waliokaa sehemu kubwa nao wanakubali.

Maana nilifikiri ni mimi tu, nikawapigia simu kuuliza wanipe matumaini labda nimekosea, wakaniambia hujakosea.
 
ACHA UFALA WW PESA ZA RUSHWA NI ZA KITAMBO 2. HY BIBI YENU ATAANGUSHA NCHI ANAVYOLAZIMISHA
Kwani wapi ninwsema si za kitambo na hataangusha?

This is a logical non sequitur logical fallacy due to a lack of reading comprehension skills.
 
Uchaguzi hautazuiwa lakini wapiga kura watakuwa wachache kiasi kwamba uchaguzi huo utakosa uhalali kwa kiwango chochote, kitaifa na kimataifa.
CCM hawana aibu hata uchaguzi ukiwa ba voter turnout ya 5% watajitangaza washindi tu.

Kuhusu uhalali, hata sasa mbona hawana uhalali?
 
Wataanza kugombana wao kwa wao

Back
Top Bottom