Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Ili vuguvugu la kisiasa lilikuwa zaidi ya hivi 2010 kipindi cha kikwete vs Dr Slaa,na lilikuwa zito zaidi 2015 Jiwe vs Edward na bado CCM waliteleza tu.Vyombo vya dola havihitaji kuhongwa mishahara mikubwa kufuata amri za walio madarakani na vyombo vya dola haviruhusiwi kugoma kisheria labda uasi,na nani wa kuorganize hilo?.Na cku zote askari wadogo ufuata amri tu usitegemee mparaganyiko kama unavyoota kwenye bandiko lako.
 
AFRIKA INA WATU WENYE AKILI sana lkn wenye Akili hawapewi nafasi yoyote, wasio na akili wameatamia na hawana uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli.
 
Ili vuguvugu la kisiasa lilikuwa zaidi ya hivi 2010 kipindi cha kikwete vs Dr Slaa,na lilikuwa zito zaidi 2015 Jiwe vs Edward na bado CCM waliteleza tu.Vyombo vya dola havihitaji kuhongwa mishahara mikubwa kufuata amri za walio madarakani na vyombo vya dola haviruhusiwi kugoma kisheria labda uasi,na nani wa kuorganize hilo?.Na cku zote askari wadogo ufuata amri tu usitegemee mparaganyiko kama unavyoota kwenye bandiko lako.
Nami nakushauri kama kweli una AKILI TIMAMU basi usiwe unakariri matukio,utahesabika kuwa mtu mmoja mjinga sana,hata shamba lisipotoa mavuno yanayotarajiwa mbinu huongezwa msimu unaofuata wa kilimo,Nakushauri usiwaze hayo unayowaza ni hatari sana,2010 ndugu yangu hadi 2025 useme watu wako vilevile pole sana ww ulie slow learner.
 
Experience ni mwalim mzuri sana,unaweza kukimbia speed kumbe hata njia hauijui.Only fools do the same thing daily and expect the different result.Kasome tena maana ya hatari,stupid!
 
Siasa kwa Africa ni sehemu ya kupatia riziki , sio sehemu ya kuwatumikia wanaichi .
 
Tumebaki na wapuuzi wachache wanaokipigania chama cha wafiraji ccm wapuuzi hao humu JF hawafiki hata 10
 
Ukweli ni kwamba, kwa sasa Watanzania waneamka sana ikilinganishwa na miaka iliyopita.

Ninachokiona mimi mwaka huu ni kwamba, kama watalazimisha uchaguzi wa magumashi, kunaweza kutokea yafuatayo:-

1. Uchaguzi kutotambuliwa na Mataifa makubwa kama vile Marekani na EU.

2. Viongozi waliochaguliwa wanaweza kupigwa vikwazo vya kutosafiri kwenda baadhi ya Nchi.

3. Serikali haramu kuwekewa vikwazo vigumu vitakavyoifanya Tanzania kuwaka moto kutokana na maisha magumu. Kwa kuwa kila Mtanzania atakuwa ameguswa na ugumu wa maisha, kwa hiyo kila Mtanzania atawachukia viongozi waliopo madarakani.
Hapo ndipo maandiko yatakapoanza kutimia.
 
Kubwa zaidi ni kwamba kutokana na vikwazo inawezekana hata hilo ongezeko la mishahara wa watumishi wa Umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kutekelezeka miezi michache tu baada ya uchaguzi utakaolazimishwa.
 
Mimi niwashauri viongozi wetu kuwa, wakati umefika ambapo MABADILIKO hayaepukiki tena. Kila jambo lina wakati wake na wakati wake ndo huu.
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.

Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.

Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.

Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.

Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.

Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.

Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
We mtoto utapata kichaa!
 
Mkuu,

Kwani anayeipinga CCM ni nani sasa hivi wakati CHADEMA wana "No Reforms, No Election"?

Au unaamini kabisa uchaguzi unaweza kuzuiwa?
Uchaguzi hautazuiwa lakini wapiga kura watakuwa wachache kiasi kwamba uchaguzi huo utakosa uhalali kwa kiwango chochote, kitaifa na kimataifa.
 
Ni kweli. Hata sidhani kwamba utachaguzi utazuiwa isipokuwa watu hawatakwenda kupiga kura. Hiyo itakuwa ni sawa na kwenda Kanisani kwa lengo la kufunga ndoa halafu mmoja kati ya wafunga ndoa anaingia mitini. Maana yake tendo la kufunga ndoa litakuwa limejifuta lenyewe automatically.
 
Back
Top Bottom