Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
😂😂😂 Chadema bhana
Stupid fishNimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Mkuu,Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.

Wana vipaji kuwazidi Mzee Majuto, Joti na Masanja😂 Chadema bhana
CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.Mkuu,
Kwani anayeipinga CCM ni nani sasa hivi wakati CHADEMA wana "No Rwforms,No Election"?
Au unaamini kabisa uchaguzi unaweza kuzuiwa?
Jamaa anasema vyombo vya usalama vikiongezewa mshahara bc miradi mingine itakwama utadhani Mei mosi watumishi wengine wote hawajaongezewa mishahara na hatujawahi kusikia mradi umesimama kisa pesa walipewa watumishi kama nyongeza ya mishahara 😂Wana vipaji kuwazidi Mzee Majuto, Joti na Masanja
Wanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.
Hii Ndo mara ya kwanza watu wa usalama kuongezewa mishahara?CCM wanataka kulazimisha uchaguzi kwa kutumia vyombo vya dola. Na hapo ndo shughuli ilipo. Ili wafanikiwe wanapaswa kuwaridhisha kwa kuwaongezea mishahara.
Hasara ya kufuga ujinga ukizani unamkomowa unamkomowa jirani matokeo yake watoto wajirani wanaelimika huku wa kwako unawafundisha matusi tu.Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Waulize watumishi kama wamepokea mshahara ulioongezwaJamaa anasema vyombo vya usalama vikiongezewa mshahara bc miradi mingine itakwama utadhani Mei mosi watumishi wengine wote hawajaongezewa mishahara na hatujawahi kusikia mradi umesimama kisa pesa walipewa watumishi kama nyongeza ya mishahara 😂
Dah ww jamaa bhana 😂 hy ishu c inaanza July au ww Ulisikia vpWaulize watumishi kama wamepokea mshahara ulioongezwa
Loh! Umeacha jina lako la Timing, sasa unajiita Stupid Fish! Lakini limekupendeza, endelea nalo Mr. Stupid Fish.Stupid fish
Hii Ndo mara ya kwanza watu wa usalama kuongezewa mishahara?