Kwa hali ilivyo mbaya kwa CCM mwaka huu inawezekana nchi ika collapse baada ya Uchaguzi

Mbaga jr huwa anadandia treni
 
Chadema mna matatizo ya akili
 
Mbaga jr huwa anadandia treni
Haya subirini wataongezewa mishahara hy mikubwa Afu tuone hy miradi itakayokwama kisa usalama wameongezewa mishahara
 
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa📌🔨💪🏿
 
Serikali ya ccm ilishapoteza uhalali kitambo! Kifupi ilishajifanyia mapinduzi kutoka jembe na nyundo kwenda kusikojulikana!
Ilipo leo inafanya mengi maovu hata wao wanajishangaa!

Ni wazi kuwa siku za ccm kukaa madarakani zimewisha! Mtaani watu wanaonesha mabadiliko makubwa ya kifikra...
Ari ya kutaka reforms ni kubwa mno!
Ni ama Reforms zifanyike ama wananchi waendelee kususia chaguzi!
 
Tatizo la mada za namna hii ni kuwafanya watu wote kuwa kama bidhaa tu za kununuliwa na pesa.
Hivi hiyo pesa ndiyo inayoondoa uwezo wa kila mtu kufikiri na kuamua afanye nini?

Na bado, mada yenyewe hata haigusii nini kinachoweza kutokea ndani ya CCM yenyewe. Ni kama huko CCM hakuna watu, bali ni misukule tupu!
 
Binafsi nasikitika tu na mipango mizuri ya Samia aliyoiweka wakati anaingia madarakani imeyeyuka.Nakumbuka mambo ya 4R, nakumbuka kuahidi kutenda haki, vyote vimepotea.Nchi imebaki na uhasama na chuki.Duh siasa
 
Binafsi nasikitika tu na mipango mizuri ya Samia aliyoiweka wakati anaingia madarakani imeyeyuka.Nakumbuka mambo ya 4R, nakumbuka kuahidi kutenda haki, vyote vimepotea.Nchi imebaki na uhasama na chuki.Duh siasa
Tamaa ya madaraka mbaya sana, yote inachochewa na ufisadi mkubwa na kinga ya kutoshitakiwa raisi.

Imagine ulikuwa hujawahi kuiona billion 1 kwa macho. Uwe na access ya kujibebea hata trillion 1 in dollars kuziweka nyumbani kwako kwenye makontena😁 ya uwani. Una muamrisha kila mtu afanye unachotaka na wote wanatii, umezungukwa na walinzi masaa 24 which means huna hofu juu ya chochote. Hapo lazma akili ibadilike na kuwa sio ya kawaida.

Halafu mtu atake kukuondoa kwenye hio nafasi. Badamu batamwagika!
 
Dogo kila kukicha unaleta uongo ili iweje
 
Reactions: UCD
Mnajenga hoja za uongo kumfurahisha nani? CCM ina nguvu mara milioni kabla ya jana. Na tumejipanga kushinda kwa kishindo zaidi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024! Subirini muone!
 
Reactions: UCD
Kwa Mei Day wameongezewa asilimia ngapi?
 
Eti nimepenyezewa na taarifa kutoka corridor za CCM? Ina maana hiyo taarifa umepewa na Samia, Nchimbi au Wassira??

Hao pekee ndiyo wana taarifa, kinyume na hapo umeongea na chawa. Usijipe umuhimu huna una hojuwa
 
Ishu iliyopo ni mgombea wa ccm vs watz na sio ccm vs chadema.
Watz Tunaungana kama kuulinda utu amani,haki ya kuishi,haki ya kuabudu,na haki za msingi zote.
 
Mishahara tayari washaongezewa, usitegemee kuna chombo cha kusimama na wananchi.

Tupambane kwa njia zetu wenyewe, tutashinda kwa sababu Mungu wa haki yu upande wetu.
 
Kashauza?mkuu
 
Asante sana kwa ufafanuzi huu, mara ya kwanza kwenye post ya juu sikukuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…