Kwa hiyo mkuu kwa andiko lako hili unakubali kuwa tumeuzwa?Wanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?
Na suala la pesa hata leo Samia kamwambia Wambura akitaka pesa amwambie tu, pesa si tatizo. Ile si kauli ya kutoa kama hajajiandaa vizuri.
Samia kashauza Bandari UAE ana pesa kama Benki Kuu, unafanyaje pesa kuwa issue?
OLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA😂 Chadema bhana
Na iwe hivyo ili wote tuongee lugha moja.Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Mnashinda nani?CHAUMA au ACT?Mnajenga hoja za uongo kumfurahisha nani? CCM ina nguvu mara milioni kabla ya jana. Na tumejipanga kushinda kwa kishindo zaidi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024! Subirini muone!
ACHA UFALA WW PESA ZA RUSHWA NI ZA KITAMBO 2. HY BIBI YENU ATAANGUSHA NCHI ANAVYOLAZIMISHAWanalazimisha vipi uchaguzi wakati uchaguzi unafanyika kwa ratiba ya kawaida ya kila miaka mitano?
Na suala la pesa hata leo Samia kamwambia Wambura akitaka pesa amwambie tu, pesa si tatizo. Ile si kauli ya kutoa kama hajajiandaa vizuri.
Samia kashauza Bandari UAE ana pesa kama Benki Kuu, unafanyaje pesa kuwa issue?
Bado kidogo tu utaehuka.Wahi mirembe hospitalNimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
ibirisi wa ccm mmerogwa na nani? Yaani mnateka mnaua mnafunga makanisa mnawawabambia kesi za uongo watu mkiambiwa ukweli unakuja na maneno yako ya kijingaBado kidogo tu utaehuka.Wahi mirembe hospital
Nyinyi CHADEMA mbona siku hizi mnaweka hoja za kitoto sanaNimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Kwahiyo CHAUMMA hamtawabakishia hata kidogo?Mnajenga hoja za uongo kumfurahisha nani? CCM ina nguvu mara milioni kabla ya jana. Na tumejipanga kushinda kwa kishindo zaidi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024! Subirini muone!
Utafanya nnOLE WAKE MTANZANIA ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA
Utoto na utekaji mauaji wizi wa pesa za umma vina uhusiano gani na utoto? Uchaguzi upi? Kuna uchaguzi Tanzania? Tume ya Uchaguzi ni ya ccm Tumeccm wajumbe wake wote ni ccm , Uchaguzi magumashi Uchaguzi maigizo Safari hii watu hawatajitokeza hao wabunge wako watajipachika Ubunge kwa njia haramu za kishetaniNyinyi CHADEMA mbona siku hizi mnaweka hoja za kitoto sana
Hivi wewe unahisi Kuna mbunge wa Ccm ambaye hatamani kurudi bungeni mwakani?
Subirini wabunge wa Ccm wakianza kuingia mitaani kusaka kura ndio mtajua
Hapo ulipo huna Akili umejitoa fahamu zote unawezaje kujua asiye na Akili? nyinyi ibirisi wa ccm tambueni kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwishoChadema mna matatizo ya akili