Ili vuguvugu la kisiasa lilikuwa zaidi ya hivi 2010 kipindi cha kikwete vs Dr Slaa,na lilikuwa zito zaidi 2015 Jiwe vs Edward na bado CCM waliteleza tu.Vyombo vya dola havihitaji kuhongwa mishahara mikubwa kufuata amri za walio madarakani na vyombo vya dola haviruhusiwi kugoma kisheria labda uasi,na nani wa kuorganize hilo?.Na cku zote askari wadogo ufuata amri tu usitegemee mparaganyiko kama unavyoota kwenye bandiko lako.Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Mishahara si itaanza kwenye bajeti mpya yaani mshahara wa mwezi wa saba yaani hata hili umeshindwa kuelewa? Au makusudi ku justify hoja yako?Waulize watumishi kama wamepokea mshahara ulioongezwa
AFRIKA INA WATU WENYE AKILI sana lkn wenye Akili hawapewi nafasi yoyote, wasio na akili wameatamia na hawana uwezo wa kuleta maendeleo ya kweli.Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Nami nakushauri kama kweli una AKILI TIMAMU basi usiwe unakariri matukio,utahesabika kuwa mtu mmoja mjinga sana,hata shamba lisipotoa mavuno yanayotarajiwa mbinu huongezwa msimu unaofuata wa kilimo,Nakushauri usiwaze hayo unayowaza ni hatari sana,2010 ndugu yangu hadi 2025 useme watu wako vilevile pole sana ww ulie slow learner.Ili vuguvugu la kisiasa lilikuwa zaidi ya hivi 2010 kipindi cha kikwete vs Dr Slaa,na lilikuwa zito zaidi 2015 Jiwe vs Edward na bado CCM waliteleza tu.Vyombo vya dola havihitaji kuhongwa mishahara mikubwa kufuata amri za walio madarakani na vyombo vya dola haviruhusiwi kugoma kisheria labda uasi,na nani wa kuorganize hilo?.Na cku zote askari wadogo ufuata amri tu usitegemee mparaganyiko kama unavyoota kwenye bandiko lako.
Experience ni mwalim mzuri sana,unaweza kukimbia speed kumbe hata njia hauijui.Only fools do the same thing daily and expect the different result.Kasome tena maana ya hatari,stupid!Nami nakushauri kama kweli una AKILI TIMAMU basi usiwe unakariri matukio,utahesabika kuwa mtu mmoja mjinga sana,hata shamba lisipotoa mavuno yanayotarajiwa mbinu huongezwa msimu unaofuata wa kilimo,Nakushauri usiwaze hayo unayowaza ni hatari sana,2010 ndugu yangu hadi 2025 useme watu wako vilevile pole sana ww ulie slow learner.
Inapendeza SanaHapo ulipo huna Akili umejitoa fahamu zote unawezaje kujua asiye na Akili? nyinyi ibirisi wa ccm tambueni kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho
Subiri utaona tuUtafanya nn
Sawa keyboard fighterSubiri utaona tu
Kubwa zaidi ni kwamba kutokana na vikwazo inawezekana hata hilo ongezeko la mishahara wa watumishi wa Umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kutekelezeka miezi michache tu baada ya uchaguzi utakaolazimishwa.Ukweli ni kwamba, kwa sasa Watanzania waneamka sana ikilinganishwa na miaka iliyopita.
Ninachokiona mimi mwaka huu ni kwamba, kama watalazimisha uchaguzi wa magumashi, kunaweza kutokea yafuatayo:-
1. Uchaguzi kutotambuliwa na Mataifa makubwa kama vile Marekani na EU.
2. Viongozi waliochaguliwa wanaweza kupigwa vikwazo vya kutosafiri kwenda baadhi ya Nchi.
3. Serikali haramu kuwekewa vikwazo vigumu vitakavyoifanya Tanzania kuwaka moto kutokana na maisha magumu. Kwa kuwa kila Mtanzania atakuwa ameguswa na ugumu wa maisha, kwa hiyo kila Mtanzania atawachukia viongozi waliopo madarakani.
Hapo ndipo maandiko yatakapoanza kutimia.
Mimi niwashauri viongozi wetu kuwa, wakati umefika ambapo MABADILIKO hayaepukiki tena. Kila jambo lina wakati wake na wakati wake ndo huu.Kubwa zaidi ni kwamba kutokana na vikwazo inawezekana hata hilo ongezeko la mishahara wa watumishi wa Umma na wa vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kutekelezeka miezi michache tu baada ya uchaguzi utakaolazimishwa.
We mtoto utapata kichaa!Nimepenyezewa taarifa kuwa hali si hali korido za Ofisi za Chama cha Mapinduzi.
Nguvu pekee wanayoitegemea kwenye kushika madaraka ya nchi kupitia uchaguzi wa kiini macho wa mwaka huu ni vyombo vya dola tu.
Katika kuvishawishi vyombo vya dola inawabidi CCM kuongeza mishahara ya Watumishi wote wa vyombo vya dola kiasi cha kuwaridhisha. Na hapo ndo inasemwa shughuli ilipo.
Idadi ya Watumishi wa vyombo vya dola kuanzia TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI ni kubwa sana kiasi kwamba haiwezekani Serikali kuwaongezea mshahara kwa kiwango kikubwa cha kuwaridhisha.
Pia inasemwa endapo wakiongezewa mishahara kwa kiwango hicho inawezekana kabisa sekta nyingine zikaanguka na shughuli za Serikali kukwama kabisa ikiwemo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, maji na umeme.
Pia inasemwa EU na Marekani ambao kwa sasa ndo wanagharamia miradi mingi nchini kwa mikopo na misaada yao wanaandaa kibano heavy kwa Serikali ya Samia kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Kwa hali ilivyo inawezekana kabisa kama vyombo vya dola vikaamua kusimama kweli na Wananchi kuhakikisha No Reforms No Election inafanikiwa.
Poleni sana CCM. Wakati ni Ukuta.
Najua nakukera sana. Vumilia tu. Ili ugonjwa upone ni lazima dawa iwe chunguWe mtoto utapata kichaa!
😂😂 Chadema bhana
Uchaguzi hautazuiwa lakini wapiga kura watakuwa wachache kiasi kwamba uchaguzi huo utakosa uhalali kwa kiwango chochote, kitaifa na kimataifa.Mkuu,
Kwani anayeipinga CCM ni nani sasa hivi wakati CHADEMA wana "No Reforms, No Election"?
Au unaamini kabisa uchaguzi unaweza kuzuiwa?
Ni kweli. Hata sidhani kwamba utachaguzi utazuiwa isipokuwa watu hawatakwenda kupiga kura. Hiyo itakuwa ni sawa na kwenda Kanisani kwa lengo la kufunga ndoa halafu mmoja kati ya wafunga ndoa anaingia mitini. Maana yake tendo la kufunga ndoa litakuwa limejifuta lenyewe automatically.Uchaguzi hautazuiwa lakini wapiga kura watakuwa wachache kiasi kwamba uchaguzi huo utakosa uhalali kwa kiwango chochote, kitaifa na kimataifa.
Yeyote tutakayepamabana nae na hata ikiwezekana tukawa peke yetu ni sawa tu!Mnashinda nani?CHAUMA au ACT?
Lengo letu ni kupata asilimia mia Urais, Ubunge na Udiwani.Kwahiyo CHAUMMA hamtawabakishia hata kidogo?