Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.
Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.
Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.
Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.
Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,
Kupunguza baraza la mawaziri,
Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.
Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.
Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!