Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
Unambana mwenye hela harafu hizo pesa utazipaje?

Jiwe alifanya kilichotokea mizigo bandarini ilipungua,akaanza kupora pesa wafanyabiashara,walipakodi wakakimbia,mazao yakaanguka Bei kuanzia pamba hadi korosho hadi kuingiza jeshi,akanza kuwalipisha maskini vitambulisho vya machinga ,sukari ikaadimika,mamilopo ya Bei mbaya nk nk 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 8
  • 2022030133155.jpg
    2022030133155.jpg
    94.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220512-130134.png
    Screenshot_20220512-130134.png
    87.3 KB · Views: 9
Na mda huu tunavyoongea Jiwe angewajibu dry maana sidhani kama angeweka ruzuku kwenye mafuta Kwa sababu Nchi zote haziweki isipokuwa Kenya kwa sababu ya uchaguzi na Tanzania kwa sababu ya kudekezwa..

Na ukinyanyua mdomo unatekwa na ungeambiwa gari ni anasa sasa naona SSH anawabembeleza kwa upole wa Mama ndio maana midomo imezidi.
 
Mbona ni empty set tu huyo maandishi,mwambie ukweli...mtu hajui sababu ya vitu kupanda Bei,pia anadhani uchumi wa watu 60m unaweza ubadili kwa mwaka mmoja na miezi mitano..akanyonye korodani tu huenda ndo ajualo vizuri
I'd yako inasadifu yote
 
Sikatai wachumi uchwara ndivyo mlivyo , mpeni wizara ya fedha mh Kishimba muone atakavyowatoa kamasi na makaratasi yenu,
Wizara ya mifugo imemshinda ndio aje Kuwa Rais?..

Tzn ya pili Kwa mifugo Afrika ila hakuna tunachopata zaidi ya kuharibiwa Mazingira na vyanzo vya maji na kuleta migogoro ya Wakulima na wafugaji tuu..

Haoni Mwenzie Bashe na Utalii wanavyofanya juhudi za kubadili maeneo yao yalete tija kwenye Nchi?

Bashe ana ajenda 1030 Kilimo ni Biashara na kitajikita kwenye irrigation..huku by 2030 Kilimo.kichangie 10% ya GDP.

Yule wa Utalii ana ajenda ya 2025 kufikosha watalii mil.5 na kuleta 14Tilioni kwenye Uchumi huku Utalii ukichangia 20% ya GDP by huo mwaka..

Huyo wa Mifugo na Uvuvi ana ajenda gani? Kchoma nyavu?
 
Rais akiwa dikteta hakuna kulialia maana mnataka awe, mkimchochea atakuwa dikteta kamili
 
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
2020 ndio ulikuwa wa mwisho Kwa familia yetu kupata kiongozi Kwa SECULAR system,

Kwamba ajaye atakaa muda mrefu, njia hiyo ngumu by ni mojawapo kati ya 2 tulizonazo.

Tuchague njia ya KATIBA mpya au njia ya pili ngumu ya MKONO wa CHUMA!!!!

Maombi juu ya Familia yaendelee.

Ameeeen.
 
Tumpe nchi yeyotr ambae ni mvuta bangi msomi tunatobowa mbona
 
Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk.

Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa.

Au uwe na shughuli inayohitaji michango ya pesa.

Kwa mambo kama hayo ni wazi kwamba tulihitaji kiongozi mwenye mikakati ya namna sahihi ya kupunguza ukali wa maisha.

Mojawapo ni kuwabana wanaoitwa wawekezaji, walipe kodi na si kusamehewa. Kukusanya kodi kutoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali,

Kupunguza baraza la mawaziri,

Kuondoa warsha na sherehe za kitaifa sisizo na umuhimu sana.

Badala ya kuwakusanya wakuu wa mikoa na watendaji wengine kwa ajili ya mafunzo, viandaliwe vipeperushi au video zenye maelekezo. Yote hii ni kubana matumizi. Ziara zipungue.

Ukweli ni kwamba, wananchi wengi hawaelewi wanakoelekea. Kila kukicha afadhali ya jana!
Nakwambia wasio na akili za kufikiria na wale washabiki WENZANGU watakuja kukupinga.
 
Hoja za kipuuzi, mnaotaka madikteta hamieni Rwanda na Uganda, na sehemu nyingine kwan lazima kuishi tanzania?
 
Back
Top Bottom