4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Aiseee Kama sio tusi basi umenionea Sana, tangu lini nikawa mfuasi wa mwendazake ,ukipata mda pitia post zangu mkuu, hujanitendea haki KWa hiliTatizo lenu wapenzi wa JPM ni roho mbaya na ukabila...mbona wakati wa JPM sukari ilifika 5000 na mlikuwa kimyaaaaaaaaaa....kama hampo