4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Aug 10, 2022 #61 mzeewakungoa said: Tatizo lenu wapenzi wa JPM ni roho mbaya na ukabila...mbona wakati wa JPM sukari ilifika 5000 na mlikuwa kimyaaaaaaaaaa....kama hampo Click to expand... Aiseee Kama sio tusi basi umenionea Sana, tangu lini nikawa mfuasi wa mwendazake ,ukipata mda pitia post zangu mkuu, hujanitendea haki KWa hili
mzeewakungoa said: Tatizo lenu wapenzi wa JPM ni roho mbaya na ukabila...mbona wakati wa JPM sukari ilifika 5000 na mlikuwa kimyaaaaaaaaaa....kama hampo Click to expand... Aiseee Kama sio tusi basi umenionea Sana, tangu lini nikawa mfuasi wa mwendazake ,ukipata mda pitia post zangu mkuu, hujanitendea haki KWa hili