jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
....bado mwenyezi Mungu ni wa ajabu na anaendelea kutenda wema usioelezeka kwa Nchi yetu.Halafu either kuna tatizo katika vyombo vya habari au katika system za kutabiri(forecasting) majanga duniani.Nakumbuka CNN iliripoti kuwa Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.Sasa najiuliza,ina maana vituo vya kufanya forecasting ya hali ya hewa vilishindwa kujua kuwa hicho kimbunga hakitafika Tanzania?
Ni sahihi kuwa wanasayansi wa kufanya utabiri wa hali ya hewa hawana uwezo wa kujua kwamba kutokana na sababu fulani fulani kimbunga fulani hakiwezi kufika sehemu fulani?Au CNN ndiyo wana tatizo katika kuripoti taarifa zao?
Halafu anasema corona aijaleta madhara seriously? Wakati bunju na Ikulu watu wamezika ipasavyo.Stuka wewe, hiyo stori inaweza kuwa ilikuzwa kutengeneza njia ya kupitisha mzigo ilipobumba ndio zinakuja taarifa kimeyeyuka kwa nguvu za maombi.chezea tani mbili nini ?
Uko sahihi kabisa mkuu.Ni Mungu anayeilinda Tanzania.Wapo washenzi walioleta picha humu wakionyesha how our coastal areas would be battered by the Cyclone, wameumbuka.Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!
Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.
Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.
Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Stuka wewe, hiyo stori inaweza kuwa ilikuzwa kutengeneza njia ya kupitisha mzigo ilipobumba ndio zinakuja taarifa kimeyeyuka kwa nguvu za maombi.chezea tani mbili nini ?
Huwezi kulinganisha na madhara yawasibuyo wenzetu huko kwingineko.Halafu anasema corona aijaleta madhara seriously? Wakati bunju na Ikulu watu wamezika ipasavyo.
Forecasting sio static ni agile.... Yaani unaweza ona mvua inakuja ila ndani ya sekunde ikahama. Same to Kimbunga cha mwaka jana baada ya Idai ilipaswa kitue Mtwara ila kikapinda kuelekea msumbiji.Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!
Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.
Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.
Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Tools for Warfare? Nani sasa atume kimbunga? Yaani wasitume automated drones mbili kuichakaza bandari ila watume kimbunga?Uko sahihi kabisa mkuu.Ni Mungu anayeilinda Tanzania.Wapo washenzi walioleta picha humu wakionyesha how our coastal areas would be battered. Wameumbuka.
Najua kimbunga hicho kiliandaliwa kuleta uhuribifu mkubwa Tanzania.Lakini kimepeperushiwa mbali.Mungu yupo pamoja nasi na hatuna budi kumshukuru sana.
Kwa wale wanao-soma soma na kutafuta taarifa watakubaliana na mimi kwamba Volcanoes, unpredictable weather patterns,ukame,mafuriko,vimbunga,magonjwa kama Polio,Smallpox,Ebola,Polio,MERS,SARS,Cancer,Diabetes,HBP,Hepatitis A-D nk.ni tools of warfare.
...wao ni wao na sisi ni sisi na hata shukrani za wao kwa Mungu ni za wao na shukrani zetu kwa Mungu ni zetu na kwa muktadha huo haipo kejeli yeyote kwalo.Forecasting sio static ni agile.... Yaani unaweza ona mvua inakuja ila ndani ya sekunde ikahama. Same to Kimbunga cha mwaka jana baada ya Idai ilipaswa kitue Mtwara ila kikapinda kuelekea msumbiji.
Nadhani ukaribu na Equator ndio umeokoa hili kuliko wenzetu madagascar na msumbiji ambao hvi vimbunga huwapata kila wakati.
Mungu ni wa wote ina maana kwenye matetemeko kma Japan hakuna Mungu? Huko msumbiji hakuna wenye dini? Tuache kejeli za ajabu.
Eti Mungu anatulinda sana wakati Biblia na Quran zote zinakiri mvua,upepo, n.k vinatoka kwa Mungu!! So ina maana Mungu anatulinda dhidi ya kitu alichoumba mwenyewe? So anafaham kuwa ni kibaya?...wao ni wao na sisi ni sisi na hata shukrani za wao kwa Mungu ni za wao na shukrani zetu kwa Mungu ni zetu na kwa muktadha huo haipo kejeli yeyote kwalo.
Tofauti na hapo,umepaniki!
Taka kujua mkuu,usinibishie.Ukinibishia nitakuacha na umbumbumbu wako.Tools for Warfare? Nani sasa atume kimbunga? Yaani wasitume automated drones mbili kuichakaza bandari ila watume kimbunga?
Mbona tunapenda kujitukuza sana kuwa tuna maadui wengi!!
Ndio maana unaona walikuja kwa uwazi wamebeba kama magunia ya viazi kwa sababu waliamini njia imeshatengenezwaI can buy this, kimbunga Jobo walimaanisha zile tani MBILI.[emoji848]
HAARP ni conspirancy tu hizo ndio mnajibunia.... Hiyo taasisi inafanya tafiti za kawaida tu bado haijafikia stage ya kuunda man made catastrophe!!Taka kujua mkuu,usinibishie.Ukinibishia nakuacha na umbumbumbu wako.
Kwa taarifa yako tayari zipo patents za kutengeneza vimbunga,kuleta mvua nyingi in any place of choice,ukame,volcaniceruptions etc.In short any drastic weather pattern you know can now be manufactured.Umeshawahi kusikia shirika la Marekani la Sayansi linaloitwa DARPA(Defense Advanced Research Projects Agency)
.Umeshawahi kusikia Programu ya Marekani inayoitwa HAARP(high frequency auroral research program - Sök på Google)
(High Frequency Auroral Research Programme).Ni noma.
Yale mawazo kwamba mambo kama mafuriko ni natural phenomenon yamepitwa na wakati,it is simply old fashion,science ime-advance sana.
Sina haja ya kuendeleza argument na wewe.Characteristic moja wapo ya a mind controlled, brainwashed and NWO slave ni kuita ukweli conspiracy.Mtu wa aina hiyo kujaribu kumuelimisha ni kujisumbua,kwa hiyo unamuacha na upumbavu wake.Bye.HAARP ni conspirancy tu hizo ndio mnajibunia.... Hiyo taasisi inafanya tafiti za kawaida tu bado haijafikia stage ya kuunda man made catastrophe!!
Kingine vimbunga kwenye benguela ocean current huwa yapo karibu kila mwaka tulikua na Idai juzi tu na kikarudi tena baada ya mwezi.
Ingekua haijawahi tokea ndio tungeona kuna conspirancy.... By the way hizo zingetumika kwenye issue kma fukushima au Chernobyl jla sio kwa nchi maskini kma yetu ambayo wakifuta tu supply ya ARV tunapukutika kma kuku!!
tusijikuze sana hatujafika level ya kutumiwa silaha mbadala sisi drone tu ingemaliza kazi yote