Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

ukweli ni kwamba hospitali zote nlizobahatika kutembelea dar hawana tatizo la wagonjwa wa corona! hio ni 100%
Huu ndio ukweli mkuu.Thankyou.The whole thing is fabricated na daktari au mwanasiasa yeyote utakaye-ona anashupalia swala la Corona ujue kwamba ni compromized.
 
Kwa kweli mwenywe macho haambiwi tazama. Kama wewe huoni hii kudra ya mungu shauri yako.
 
Alieniambia hivyo ni kiongozi wa dini kubwa sana na ni informant wa TISS kwa miaka zaidi ya 10!! Alikuepo kwenye timu iliyoenda mfanyia maombi na wanadai walimuongoza sala ya toba.

So nimechagua kumuamini maana hakua na sababu ya kudanganya.
Marehemu hana haki akishakufa yeyote anamsema chochote coz wanajua marehemu hawezi jitetea kwa chochote.

Hata waliompamba jp akiwa hai ndo hao hao wabaomsema vibaya akiwa narehemu.

Yaan kichwa chako kimeshindwa kwenda mbali kikawaza kwa nini baada ya jpm kufa hakuna kifo kilichotokea kikahusishwa na corona?

Kuna mengi usioyajua binadam tuna take advantage, waongelee corona tuone ndo ilimuua. Uenda wakati wake ulikuwa umefika ila sio corona.corona ni mwanvuli tu.
 
How,naomba scientific explanation mkuu.I am just curious to know.
Najua unajua ila hujui kama unajua. Nitakukumbisha kidogo Georaphia ya shule ya msingi.

Unakumbuka mstari wa equator, tropic ya cancer na tropic of capricorn. Unakumbuka mikondo bahari aka ocean currents...bila shaka. Unakumbuka mgandamizo wa hewa. Hivi vyote vinafanya eneo la dunia kuwa hali ya hewa na majira (weather and climates) tofauti tofauti. Sasa angalia position ya tanzania na hali ya hewa, majira ya eneo hili..
 
Kilicho wazi ni kuwa kuna chuki binafsi dhidi ya JPM, hivyo hoja zinazotolewa dhidi yake haziegemei kwenye ukweli bali chuki binafsi.

Duniani ni mahali pa mateso na mahangaiko tangu Adam na Eva walipomkosea Mungu, lakini Mungu hajamuacha kabisa mwanadamu . Pia Mungu alitupa maarifa ili tuyatumie kutatua matatizo lakini hakuacha kutusaidia pale tunapomuomba. Hakuna anayebisha kuwa Tanzania hakuna kabisa corona , ilikuwepo lakini jitihada za watu kumlilia Mungu zilisaidia kuufifisha kabisa na kuuondoa ugonjwa huo. Katika hali ya kawaida huwezi kulinganisha makali ya ugonjwa huo kwa Tanzania na nchi zingine. Kwa wale wanaotumia usafiri wa daldala hapa Dsm kwa siku mtu anaingiliana na zaidi ya abiria mia sita tena wakibanana ndani ya dala dala na vituoni wote wakwa hawana barakoa. Kama corona ingekuwepo si wangekuwa wanaugua na kufa maelfu kila siku? Mbona hawafi? Au mpirani angalia wanavyojaa , huko India au Ulaya wanajaa hivyo? wewe huoni tofauti hapo?

Mtu kufa kwa kuugua sio ajabu inategemea Mungu ameamua kumuita kwa njia ipi.

Nyinyi mnaosema corona ipo vaeni barakoa na zingatieni social distance lakini wengi wanaendelea kudunda kama kawa bila hizo barakoa
 
Halafu anasema corona aijaleta madhara seriously? Wakati bunju na Ikulu watu wamezika ipasavyo.
Nadhani hujamuelewa mleta UZI kuhusu CORONA, ni kweli yapo madhara ya ugonjwa hu but huwezi kulinganisha madhara tulioyapata Tanzania compared with other countries in Africa, in the world or even within EAC; labda kama tuanze tu kubishana, Kenya wameipata HASA.
 
Sio kwamba vifo hamna ila media haitangazi tena maana walifanya vile kumpressure Rais achukue hatua. Mwezi huu tu mwandosya katoka kudai kalazwa for Covid 19 - related ilness.

Mama naye akizembea kuchukua hatua TANZIA zitapostiwa sana insta na twitter hadi naye aone tatizo ni kubwa. Na hiyo ndio kazi ya propaganda thru media.
 


Kuna kitu ambacho, ama hatukijui, au tumeamua kwa makusudi kabisa kutokukitambua. Inchi hii ya Tanzania inalindwa na Mungu Aketie Juu Mbinguni. Lakini pia, MBEGU ya kumtegemea MUNGU katika Jimbo iliopandwa na Viongozi wetu ndio inayo mkumbusha Mungu kuendelea kuiangalia Tanzania kwa Jicho la Huruma na Rehema.
Hayati Dkt JPM alikuwa ni MwanaSayansi Kamili, lakini aliamua kumtumainia Mungu katika mambo ambayo yapo Inje ya uwezo wa Mwanadamu. Corona na JOBO sio vitu vidogo kuvibeza. Mimi binafsi nimeishi USA kwa 15 years. Najua nguvu ya kimbunga (Tornado) na hathali za corona. Scientifically speaking, hivi vitu ni very dangerous. Lakini Kwa Tanzania Mungu ametupa na anaendelea kutupa upendeleo wa Hali ya juu sana katika Ulinzi wake juu yetu.
Mungu anataka Mataifa yote yamtambue kuwa YEYE NDIO MUNGU WA KWELI, NA KWAMBA BILA YEYE MWANADAMU DOESN'T STAND A CHANCE FOR SURVIVAL.
Hayati Raisi MAGUFULI alilitambua hilo mapema akamkabidhi Mungu Hatma ya Taifa letu kuhusu janga la corona, na katika suala la Kimbunga, ni mbegu ileile ya kumtumainia Mungu ndio imesababisha Mungu kukisambaratisha kimbunga Jobo, ambacho, laka kingepita Tanzania,. I promise you, by personal experience, tungekuwa tunaombeleza vifo vingi sana.

Mwisho kabisa, tusibeze Science au utabiri uliotolewa kuhusu Kimbunga Jobo, bali tumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutuepusha na Maafa ambayo yangesababishwa na JOBO.

THANK YOU GOD 🙏
 
Yes unaweza kuwa sahihi kuwa haina madhara kama nchi za magharibi lakini hta kenya na Ug ama Rwanda mbona hali yao kama yetu tu kwamba madhara sio kivile in terms of vifo ila wao wanatoa takwimu.

Sasa fikira RC tu ipoteze mapadri plus walei zaidi ya 50! Je unadhani washirika wangapi waliugua na kupona (Hata bila kuonyesha dalili)

Kama takwimu hamna tusipende kutoa conclusion..... Mama Samia alikua ikulu so anazo takwimu zote so ukiona anaunda kamati sio kma ni mjinga ila hataki kupingana na ukweli.

Ambacho naweza mpongeza JPM alipunguza panic kwa kubana takwimunza Covid na kuaminisha watu kuwa haipo so hta madhara yake hakuna aliyeyapa airtime!! Hizo strategy zilitumika hta china we umewahi sikia kina ugaidi? Wanatunguliwa kila mara na magaidi ila taarifa zinaminywa so dunia inaaminishwa nchi safe ya kuepuka ugaidi ni china pekee!!! Na wote tumeamini.

Media ndio kila kitu...... Ukiibana hata hutowahi jua nchi ina maskini au walemavu!!
 
Watu wengi wanapenda sana kujiona special.

Ndiyo maana awali wengi wamekufa kwa UKIMWI kwa kupiga kavu wakifikiri "mimi hautanipata".

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na kimbunga popote, muda wowote.
 
Hukuwasikia vizuri CNN, mwishoni kwenye kutabiri walisisitiza "good news" ni kwamba kule kinakoelekea kitadhoofishwa na hali ya hewa.

Sikiliza kwa makini hiyo video hapo chini
Your browser is not able to display this video.
 
Kuhusu vifo vya mapadre ilipaswa kutoa takwimu kwa mwaka mzima wa 2020 vifo on average vilikuwa vingapi kwa mapadre ili sasa zilipotolewa takwimu kuwa wamekufa idadi hiyo ya watawa ulinganishi uweze kufanyika ili kuona kama on average kuna ongezeko la vifo au la. RC ina majimbo 32 hivi nchi nzima kwa idadi yake ya mapadre unaweza kuta idadi ya vifo pengine ni ya kawaida.

Hata takwimu zisipotolewa rasmi kama hali ni mbaya kwa observation ya kawaida tu mtu unaweza kujua kama ugonjwa unapukutisha watu au la. watu wote tunaishi na kufanya kazi pamoja, pia tunasali pamoja hivyo lazima mwingiliano wa misiba ungekuwa mkubwa.
 
Hii post naipa naikubali 100%
 

Kwanza Kwa kumuondoa Magufuli Mungu anailinda sana Tanzania.
 
Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.
Mkuu walisema ni kimbunga ambacho hakijawahi kuikumba Tanzania kwa miaka 69. Maana yake kimbunga kama hicho kimewahi kuikumba Tanzania 1952.
 
Watakupinga ila mimi niko na wewe.Magufuli aliona mbali.

RIP JPM
 
Watakupinga ila mimi niko na wewe.Magufuli aliona mbali.

RIP JPM
Hakuna kitu kilichonistajabisha mimi kama Mwanasayansi Magufuli kumtunainia MUNGU na kumtanguliza yeye kwenye Taifa.

Ni rahisi pekee toka Julius Nyerere aliyemtajac MUNGU sana na kum acknowledge MUNGU kwenye Urais wake.


Naamini kuna namna MUNGU anam reward kipenzi chetu JPM.
 
wachawi waliopo katika developed countries ambao ndio watawala wa dunia wanapojificha kwenye kichaka cha advancd technology, yaani yale mambo ya nguvu za giza wao wanasema ni advance technology.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…