Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Halafu either kuna tatizo katika vyombo vya habari au katika system za kutabiri(forecasting) majanga duniani.Nakumbuka CNN iliripoti kuwa Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.Sasa najiuliza,ina maana vituo vya kufanya forecasting ya hali ya hewa vilishindwa kujua kuwa hicho kimbunga hakitafika Tanzania?
Ni sahihi kuwa wanasayansi wa kufanya utabiri wa hali ya hewa hawana uwezo wa kujua kwamba kutokana na sababu fulani fulani kimbunga fulani hakiwezi kufika sehemu fulani?Au CNN ndiyo wana tatizo katika kuripoti taarifa zao?
Bwana Yesu alikemea Upepo baharini ukamtii na ukanyamaza. Alisema kwa Nguvu na Uweza Jina lake tutaponya kila ugonjwa. Mapepo na majini ndio kabisa yakilisikia jina lake yana weweseka na kutafuta pa kutokea. Acha wenye kuunda kamati za corona waunde bali kwenye Ulimwengu wa Roho corana imeshashindwa.
Eti Watanzania tuende leo tuwaulize wenzetu EAC na SADC kuhusu corona. Tumesha sahau mara tulimtanguliza na kumtegemea Mungu na hatuoni ahueni tuliyo nayo ukilinganisha na hao tunao enda kuwataka ushauri. Na fikiri duniani huko watu wengi wamejiuliza mbona Tanzania hivi ?Tumeona maana dunia leo iko kiganjani, ndugu na jamaa walio huko dunia ya kwanza wanasema jamani na sisi tuombeeni kwa Mungu. Lakini sometimes sijui wanadamu wengine wanamchukuliaje Mungu wa Mbinguni, inasikitisha tena sana.