Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!

Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.

Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.

Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Wakati corona ing'oa mibuyu
 
Halafu either kuna tatizo katika vyombo vya habari au katika system za kutabiri(forecasting) majanga duniani.Nakumbuka CNN iliripoti kuwa Tanzania itapatwa na kimbunga ambacho haijawahi kukipata tangia miaka 80 iliyopita.Sasa najiuliza,ina maana vituo vya kufanya forecasting ya hali ya hewa vilishindwa kujua kuwa hicho kimbunga hakitafika Tanzania?

Ni sahihi kuwa wanasayansi wa kufanya utabiri wa hali ya hewa hawana uwezo wa kujua kwamba kutokana na sababu fulani fulani kimbunga fulani hakiwezi kufika sehemu fulani?Au CNN ndiyo wana tatizo katika kuripoti taarifa zao?
Utabiri wa hali ya hewa huwa accurate kwa 90% hio 10% ni if all other factors remain constant
 
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!

Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.

Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.

Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Yaani watahangaishwa mpk watakapokiri kuwa Yesu ni Bwana! Na bado ila tunawaombea!
 
kuna mtu hapa ananiambia leo kulikuwa na mashindano ya kimataifa ya usomaji wa Quran
 
Taka kujua mkuu,usinibishie.Ukinibishia nakuacha na umbumbumbu wako.

Kwa taarifa yako tayari zipo patents za kutengeneza vimbunga,kuleta mvua nyingi in any place of choice,ukame,volcaniceruptions etc.In short any drastic weather pattern you know can now be manufactured.Umeshawahi kusikia shirika la Marekani la Sayansi linaloitwa DARPA(Defense Advanced Research Projects Agency)
.Umeshawahi kusikia Programu ya Marekani inayoitwa HAARP(high frequency auroral research program - Sök på Google)
Ni noma.

Yale mawazo kwamba mambo kama mafuriko ni natural phenomenon yamepitwa na wakati,it is simply old fashion,science ime-advance sana.
Kwahiyo hiyo HAARP yenyewe kutoka Alaska uko inajitengenezea vimbunga kama Katrina viipige Marekani. Ni sawa na kusema US Navy imelishambulia jimbo la Hawaii
 
Kwahiyo hiyo HAARP yenyewe kutoka Alaska uko inajitengenezea vimbunga kama Katrina viipige Marekani. Ni sawa na kusema US Navy imelishambulia jimbo la Hawaii
Mkuu unahitaji muda kukuelimisha,ni sayansi ya kiwango cha juu sana,kwa hiyo kama huna background nzuri ya sayansi ni vigumu sana kuelewa.
 
Inaweza kuwa kweli!! walitaka kutengeneza mazingira ili watu wawe wachache baharini ili mzigo upite!!
Kwahio wauza unga wanna watu wao hapo CNN.

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Hao binadamu wapo everywhere na wana nguvu kubwa na ushawishi kuliko unavyodhani. ile namna walivyokuja walijua njia iko salama, sema tu kutakuwa na kirusi aliyeharibu mchango
 
Nimeiona mahali:

Ndugu zangu!

Kikawaida cyclones huwa hazikimbilii towards the equator. Zikifanya hivyo huwa zinakosa nguvu na kutawanyika. Kwa maana hiyo hatari kubwa kwa hii Cyclone ya Jobo ni Lindi na Mtwara (9 degrees S) na sio Dar (6 degrees S).

Ndiyo maana cyclones nyingi zinazoanzia bahari ya Hindi huwa zina gain southwards na kuishia Madagascar au Mozambique. Hii ya ku gain northwards towards the equator kwa kweli ni ajabu

Kikawaida ni vigumu kutokea cyclone/hurricane/typhoon 5 - 7 degrees South or North of the Equator sababu kuna Coriolis Effect ndogo. Dar ni 6 degrees South of Equator kwa hiyo ideally cyclone itadhoofishwa na kutawanyika inapokaribia Dar. Ndiyo maana Lindi na Mtwara (9 degrees S) makes more sense.

Huku kwetu kwenye Southern hemisphere cyclones zote huwa zinaenda clockwise, hata vimbunga n.k......kwenye Northern hemisphere huwa ni anti-clockwise. Sasa tunapo approach Equator huwa hii phenomenon inapungua na tunapoenda mbali na equator inaongezeka....na kwenye equator yenyewe hakuna hii effect......cyclones huwa hazikimbilii equator. Kwa mfano unaweza kufanya practical kidogo.....tukijaza sink maji tukiyafungulia yatazunguka clockwise sababu tupo Southern hemisphere ila kwa wenzetu waliopo northern hemisphere (mfano Uingereza) itakua anti-clockwise....na waliopo equator mfano Kenya au Uganda yataanguka tu straight down! Ndiyo maana inavyosemwa kitaenda northwards hapo ni ajabu sana.

Kinadharia....the worst that can happen kwa Dar ni mvua tu tena kwa kiasi chake. Kitakutana na mengi ya kukiresolve njiani mpaka kifike Dar. Imesahaulika tu kukumbushia oceanic currents,......maana kikiwa njiani kwa upande uliosemwa kutokea kitakutana na Mozambican current hivyo kitapunguzwa nguvu sana.

Vurugu inaweza kuwa kusini hasa Mafia, Rufiji na kwenda Lindi na Mtwara. Dar si rahisi....kikija northwards kuanzia (Dar) na kuendelea maeneo mengine northwards kweli kitakua kimefanya Job kama wanavyokiita Jobo 😅
... great scientific and academic explanation with vivid examples! Tumeelimika wengi asante Mkuu.
 
Forecasting sio static ni agile.... Yaani unaweza ona mvua inakuja ila ndani ya sekunde ikahama. Same to Kimbunga cha mwaka jana baada ya Idai ilipaswa kitue Mtwara ila kikapinda kuelekea msumbiji.

Nadhani ukaribu na Equator ndio umeokoa hili kuliko wenzetu madagascar na msumbiji ambao hvi vimbunga huwapata kila wakati.

Mungu ni wa wote ina maana kwenye matetemeko kma Japan hakuna Mungu? Huko msumbiji hakuna wenye dini? Tuache kejeli za ajabu.
Kwa hiyo kwa maelezo yako Mungu huwa hasaidii kitu? Hana role yeyote?

Tambua kuna watanzania wanamuomba Mungu daima na sala zao husababisha nchi iponywe.
 
Kwa hiyo kwa maelezo yako Mungu huwa hasaidii kitu? Hana role yeyote?

Tambua kuna watanzania wanamuomba Mungu daima na sala zao husababisha nchi iponywe.
Nachosema Mungu ndio analeta matetemeko na vimbunga duniani hata kwenye nchi zenye dini kutuzidi..... Sasa kama sie tunajisifia tumepona sababu ya Mungu ndio nahoji ina maana kazi ya Mungu (Vimbunga) ina makosa? Kiasi kwamba isipokuja tunamshukuru "kutuepusha"?

Yes wa Tanzania wanaomba lakini pia msumbiji na madagascar huwa wanaomba ila kwao vimbunga ni kila mwaka je ina maana Mungu hawapendi? Au hawana maombi kutuzidi?

Tuache kujifanya tunamjua Mungu sana..... JPM si alikua anamtegemea Mungu!! Mbona amekufa? Ina maana Mungu hakuwa naye? Kama unakiri Mungu katuepusha na kimbunga basi kiri Mungu pia katuondelea JPM!! Maana zote ni kazi za Mungu kwa mujibu wa Quran na Biblia
 
Stuka wewe, hiyo stori inaweza kuwa ilikuzwa kutengeneza njia ya kupitisha mzigo ilipobumba ndio zinakuja taarifa kimeyeyuka kwa nguvu za maombi.chezea tani mbili nini ?
Inafikirisha, siasa za dunia ni kali! Ila Kama ni hivyo basi Tanzania bado tuko vizuri ki intelijensia maana hata wakati wa corona Kuna bidhaa ziliteketezwa kule Temeke huenda ndiomaana madhara hayakuwa makubwa saana kwetu
 
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!

Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.

Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.

Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Watanzania tunapaswa kumshukuru sana Mungu kwa kuwa alitupatia Rais Magufuli aliyemtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya corona! Waliojifanya kutanguliza sayansi mbele wote waliangukia pua!! Magufuli alimwamini Mungu kutuokoa na corona hadi pumzi yake ya mwisho! Tusitake kufanana na wengine!!
Marekani hawawezi kujifanya kuwa wanaweza kutusaidia wakati wameshindwa kujisaidia wenyewe! Tumesaidiwa na Mungu!
 
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!

Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.

Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta athali zozote kama ilivyotarajiwa hakika mkono wa Mungu ni wa kipekee kwa Taifa letu.

Kama Watanzania na pasipo kujali tofauti zetu za kiimani na kisiasa yatupasa sasa tumshukuru mwenyezi Mungu kwa mapenzi mema kwa Nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Mungu yupi sasa? Maana mnatuchanganya sana kuna mungu na Mungu.
 
Back
Top Bottom