Kuna kitu ambacho, ama hatukijui, au tumeamua kwa makusudi kabisa kutokukitambua. Inchi hii ya Tanzania inalindwa na Mungu Aketie Juu Mbinguni. Lakini pia, MBEGU ya kumtegemea MUNGU katika Jimbo iliopandwa na Viongozi wetu ndio inayo mkumbusha Mungu kuendelea kuiangalia Tanzania kwa Jicho la Huruma na Rehema.
Hayati Dkt JPM alikuwa ni MwanaSayansi Kamili, lakini aliamua kumtumainia Mungu katika mambo ambayo yapo Inje ya uwezo wa Mwanadamu. Corona na JOBO sio vitu vidogo kuvibeza. Mimi binafsi nimeishi USA kwa 15 years. Najua nguvu ya kimbunga (Tornado) na hathali za corona. Scientifically speaking, hivi vitu ni very dangerous. Lakini Kwa Tanzania Mungu ametupa na anaendelea kutupa upendeleo wa Hali ya juu sana katika Ulinzi wake juu yetu.
Mungu anataka Mataifa yote yamtambue kuwa YEYE NDIO MUNGU WA KWELI, NA KWAMBA BILA YEYE MWANADAMU DOESN'T STAND A CHANCE FOR SURVIVAL.
Hayati Raisi MAGUFULI alilitambua hilo mapema akamkabidhi Mungu Hatma ya Taifa letu kuhusu janga la corona, na katika suala la Kimbunga, ni mbegu ileile ya kumtumainia Mungu ndio imesababisha Mungu kukisambaratisha kimbunga Jobo, ambacho, laka kingepita Tanzania,. I promise you, by personal experience, tungekuwa tunaombeleza vifo vingi sana.
Mwisho kabisa, tusibeze Science au utabiri uliotolewa kuhusu Kimbunga Jobo, bali tumshukuru Mungu kwa kutulinda na kutuepusha na Maafa ambayo yangesababishwa na JOBO.
THANK YOU GOD 🙏