Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule shuleni tuliziita sifa za kijinga, 20yrs from now utakuja kusoma maandishi yako na kujiona mpuuzi tu. Fear God and technology.relax gentleman,
hiyo ndiyo tabia ya ukweli, unauma halafu ni mchungu sana na hua haupoi na unafurukuta moyoni balaaa![]()
sasa gentleman,Kule shuleni tuliziita sifa za kijinga, 20yrs from now utakuja kusoma maandishi yako na kujiona mpuuzi tu. Fear God and technology.

Mnajisumbua tu hatutashiriki uchaguzi bila tume huru,huyo ndiye jemedari wetu Tundu Lissu,halafu mkajishindanishe na T.L.P. CHAUMA muwashinde kwa asilimia 100Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%,
Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni zaidi ya 100%, na hiyo itamaanisha na kuashiria kwamba, CCM inaweza kushinda uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 katika majimbo yote ya uchaguzi nchini.
Una maoni na mtazamo gani juu ya hili 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Mnajisumbua tu hatutashiriki uchaguzi bila tume huru,huyo ndiye jemedari wetu Tundu Lissu,halafu mkajishindanishe na T.L.P. CHAUMA muwashinde kwa asilimia 100
