Pre GE2025 Kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini hakuna hata jimbo moja la uchaguzi nchini litaenda upinzani uchaguzi mkuu wa october 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
People must boycott such kind of threads, unachangiaje thread ya kipumbavu namna hii!
relax gentleman,
hiyo ndiyo tabia ya ukweli, unauma halafu ni mchungu sana na hua haupoi na unafurukuta moyoni balaaa
 
relax gentleman,
hiyo ndiyo tabia ya ukweli, unauma halafu ni mchungu sana na hua haupoi na unafurukuta moyoni balaaa
Kule shuleni tuliziita sifa za kijinga, 20yrs from now utakuja kusoma maandishi yako na kujiona mpuuzi tu. Fear God and technology.
 
Kule shuleni tuliziita sifa za kijinga, 20yrs from now utakuja kusoma maandishi yako na kujiona mpuuzi tu. Fear God and technology.
sasa gentleman,
kwa mfano jimbo gani la uchaguzi linweza kuchukuliwa na upinzani? tuwe wakweli tu.
kwanza atakua amefanya nini mathalan?

HUNA HAJA YA KUTIA HURUMA GENTLEMAN?
 
Mnajisumbua tu hatutashiriki uchaguzi bila tume huru,huyo ndiye jemedari wetu Tundu Lissu,halafu mkajishindanishe na T.L.P. CHAUMA muwashinde kwa asilimia 100
 
Mnajisumbua tu hatutashiriki uchaguzi bila tume huru,huyo ndiye jemedari wetu Tundu Lissu,halafu mkajishindanishe na T.L.P. CHAUMA muwashinde kwa asilimia 100
Gentleman,
uchaguzi wa Tanzania hufanyika kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na siao kwa makelele, mdomo au utapeli wa wa vibaka wa siasa nchini.

sikiliza wimbo muhimu sana wa ccm, wenye maneno "Bila chama cha mapinduzi, uhuru wetu ungetoka wapi" utafarijika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…