DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kaka angu kipenzi mwenzako sijui kizungu
Wahaya huwa mna matatizo gani lakini, umeambiwa umuelezee kwa kiswahili wewe bado huelewi tu.Ego -means self identity yaani unakuwa unaendeshwa na dunia ya nje you look for attention ,probably tunasema Ego iwe negative au positive bado sio kitu kizuri
Huu ni uhayaA lot of people does this damn for being driven by Ego , Ego sometimes is shit .
Don't do that stay decent
Ahsante kaka sawa sitachoraEgo -means self identity yaani unakuwa unaendeshwa na dunia ya nje you look for attention ,probably tunasema Ego iwe negative au positive bado sio kitu kizuri
Tatizo huwa mnasoma vichwa tu bila kusoma postHayo ni mawazo yako tu! Wapo mabinti waliojitunza vizuri huwezi kuamini.
Kama umekusudia kuoa na ukamtanguliza Mungu, atakutafutia binti mzuri ambaye amejitunza vizuri.
Mke mwema anatoka kwa BWANA.
Hapa unamaanisha ukiowa bikra au demu ambaye tayari ameshaanza hizi mambo halafu wewe ndio uowe bila kuonja?Ukioa mkiwa mmeshagongana. Kuna asilimia 90 mtaachana. Mkionq bila kushiriki mnaasilimia 90 ya kuishi hadi mauti iwatenganishe.
Mambo mwasibuHuu ni uhaya
Bwana yupi?Hayo ni mawazo yako tu! Wapo mabinti waliojitunza vizuri huwezi kuamini.
Kama umekusudia kuoa na ukamtanguliza Mungu, atakutafutia binti mzuri ambaye amejitunza vizuri.
Mke mwema anatoka kwa BWANA.
Sema ni jambo lisilowezekana kwako na sio kwa wengine.
Kwanini mnapenda Ku-Generalize mambo?
UZINZI NI TABIA, NA UKIAMUA UNAWEZA KUIACHA (BADILIKA KIJANA)
Mkuu wanaume wote ni wazinzi kiasili kubali ukatae.Sema ni jambo lisilowezekana kwako na sio kwa wengine.
Kwanini mnapenda Ku-Generalize mambo?
UZINZI NI TABIA, NA UKIAMUA UNAWEZA KUIACHA (BADILIKA KIJANA)
Kwa hali ilivyo inabidi kufosi mimba kwanza. Akipata mimba ndio unaoa fasta. La sivyo utaoa garasa limeshatoa mimba 8 halizai tena
DUMi mwenyewe hapa nilikuwa na misimamo mikali kuhusu kuoa, sikutaka kuonja mpiko mpaka nifunge ndoa kule kwenye dini yangu. Kwa hali ilivyo mambo yamebadilika nami nimebadili msimamo nataka kuonja mpiko kwanza nijiridhishe kuwa mwanamke ninayemuoa ana sifa ya kuolewa na anakidhi viwango vyote ninavyohitaji. Unaoa mwanamke kwa harusi na watu wengi wanashuhudia baada ya mwezi mmoja watataka kuona amebeba mimba tayari na sio waanze kuhoji nani ni mbovu? Kumbe ni mwanamke alishaweka madawa ya kuzuwia mimba yamemuathiri kizazi chake mnaanza kuhangaika kutafuta tiba na tiba. Kuhusu kuuchunguza mwili wa mwanamke muolewaji hiyo nafanya sana tu, nikiona mwili una tatoo, sehemu ya siri haijakaa kama ya kawaida naghairi kuoa huyo mwanambe, penzi linayeyuka na sipokei wala kujibu simu yake tena, imetoka hiyo
Na wewe ita koleo koleo bana na si kijiko kikubwa. Tangu lini pussy ikaitwa mali ?Haya ndiyo nayozungumzia,
Tafsiri yake "Hii ni mali ya Joshua Thompson"
Jitie mjuaji alafu uoe bila kukagua sasa !! utatamani ardhi ipasuke ujifukie