Mi mwenyewe hapa nilikuwa na misimamo mikali kuhusu kuoa, sikutaka kuonja mpiko mpaka nifunge ndoa kule kwenye dini yangu. Kwa hali ilivyo mambo yamebadilika nami nimebadili msimamo nataka kuonja mpiko kwanza nijiridhishe kuwa mwanamke ninayemuoa ana sifa ya kuolewa na anakidhi viwango vyote ninavyohitaji. Unaoa mwanamke kwa harusi na watu wengi wanashuhudia baada ya mwezi mmoja watataka kuona amebeba mimba tayari na sio waanze kuhoji nani ni mbovu? Kumbe ni mwanamke alishaweka madawa ya kuzuwia mimba yamemuathiri kizazi chake mnaanza kuhangaika kutafuta tiba na tiba. Kuhusu kuuchunguza mwili wa mwanamke muolewaji hiyo nafanya sana tu, nikiona mwili una tatoo, sehemu ya siri haijakaa kama ya kawaida naghairi kuoa huyo mwanambe, penzi linayeyuka na sipokei wala kujibu simu yake tena, imetoka hiyo