Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

Ukioa mkiwa mmeshagongana. Kuna asilimia 90 mtaachana. Mkionq bila kushiriki mnaasilimia 90 ya kuishi hadi mauti iwatenganishe.
Wapo washkaji kibao hawajaoana wana watoto na miaka mingi wanaishi

Hizo sheria Kumi za kwenye biblia kuna baadhi hata kwa logic ya kawaida zinaeleweka.
Mfano usizini kuna magonjwa ukiumwa huwezi fanya mambo ya maendeleo.

Ninachokataaga Mimi eti ukioa kwa mila ni kuzini ila kwenda kanisani kufunga ndoa sio kuzini.

Huu utumwa nilishaukataaga.
 
Kaazi kweli kweli yakhee!
 
Kuoa kwa mila sio kuzini. Wanaosema hivyo bi malimbukeni wa kidini.
 
Ila na sisi kanisa tunawa

Ila na sisi kama Kanisa tunawandekeza. Ni bora niendelee kuimba na mke wangu na watoto kuliko kuwa na waamini wapuuzi wa namna hiyo. Hakuna sehemu yoyote chini ya jua isiyo na utaratibu.
Hakuna haja ya kuita wavaa vimini wapuuzi, na kila mtu ana utaratibu wake pia, ila nyie watu wa kanisa mnajiona utaratibu wenu ni bora kuliko wengine, kama wewe mwanamke kuvaa kimini ni upuuzi Kwa wenzako ni fashion,vipi wewe na mkeo tukiwalazimisha kuvaa kama ninja kama wale wenzetu ambao kama wewe sio mwenzao wanaamini moto unakuhusu
 
Endelea na uzinzi wako Mkuu.

Naomba uache vijana wa bwana wajitunze mpka pale watakapokula kiapo mbele ya kanisa.

UZINZI SIO SIFA, ACHA UZINZI.
uzinzi umejaa huko makanisani we ongea vzr na mwenza wako kama watumishi hawapiti nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…