Pre GE2025 Kwa hali ya siasa ilivyo nchini, binafsi sioni upinzani katika ujumla wao nchini, wakipata zaidi ya 5% ya kura zote katika uchaguzi mkuu ujao 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani hiyo Ina shida Gani dogo??
Kama jamii inataka iwe hivyo Kuna ubaya Gani! Au unaupenda upinzani uko ccm kwa ajili ya maokoto??

Huna kazi za kufanya Kila siku upinzani tu

Kwa taarifa yako 1995 upinzani ulishinda haukutangazwa

2020 upinzani zenji ulishinda haukutangazws

2025 upinzani zenji ulishinda haukutangazwa

2010 slaa alishinda hakutangazwa

Lowasa alishinda hakutangazwa
2015

2020 lissu alishinda hakutangazwa
Katika mazingira kama haya ya tutegeemee udanganyifu tu
 
Hoja zako zingekuwa na mashiko iwapo Polisi na Tume wangekaa pembeni tuone game halali kati ya CCM na CHADEMA. sasa hivi huwezi pata tathmini sahihi.
 
wewe unafanya kipi
 
Hoja zako zingekuwa na mashiko iwapo Polisi na Tume wangekaa pembeni tuone game halali kati ya CCM na CHADEMA. sasa hivi huwezi pata tathmini sahihi.
mahiko ya hoja hizi ni baada ya Uchaguzi gentleman πŸ’
 
Kwani Kuna shida Gani ikiwa ccm itashinda kihalali 95% au hamjiamini
hakuna shida gentleman,

ni katika kukumbushana na kuweka record sawa tu, tusijekulaumiana wakati muafaka πŸ’
 
mwaka ujao ni 5% wapinzani kwa ujumla wao, chukua hii iweke kama kumbukumbu itakusaidia πŸ’
 
Mbowe target yake ipo kwenye ruzuku tu, hayo mengine hana ishu nayo
 
Kama ccm itashinda kwa 95% alafu umasikini na tozo zikiondoka kwa 95% hakuna shida dogo
CCM nilishaizungumzia na asilimia zake, hapa na zungumzia upinzani kwa ujumla. Na huo ndio uelekeo wake πŸ’
 
Kidumu chama cha mapinduzi!CCM chama dume ,chama imara ,chama makini na chama cha siasa sio chama cha kukopeshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…